kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
What about China?
It wasn't until China adopted capitalistic policies that their upward trajectory started.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What about China?
Kwani walibinafisisha kwa wazawa au kwa wageni?
Wew acha kuwa juha serikali inaya compromise kusud ayo mashirika ili wapate vibali vya kuyauza ila wallah mtakuja jutia hayo maamuzi
Acha kutetea ujinga ,ubinafsishag uendane na umma sio maamuzi ya kifisadi,subir iyo port wachukue wachina alaf ndio utaona hiyo ruzuku mnazotaka
Tatizo lenu ninyi mbafikiria kupata faida pekee, hamfikirii impact ya uchumi kwa ujumla wake. Mashirika ya serikali lengo kubwa ni kutoa Huduma kwa wananchi hata Kyle ambako private sector haitaki kufika labda kutokana na kwamba hawapati faida, kutoa ajira nyingi kwa wananchi na kutoa gawio kwa serikali.
Mashirika ya serikali yakiendeshwa kwa ufanisi yanafaida kubwa katika uchumi wa nchi kuliko Private, jiulize kwanini Kenya wana viwanda vingi kuliko Tanzania lakini unemployment rate Kenya ni two times higher than Tanzania?
Mbona hujibu swali?, kwanini Kenya pamoja kuwa na makampuni na viwanda vingi vya private lakini ipo na unemployment kubwa kuliko Tanzania?. Kwanini Kenya inaongoza ktk KILIMO cha maua na chai lakini bado inapokea msaada wa chakula?, yaani ardhi ya kulima chai, maua na mananasi ya viwanda vya Delmonte inapatikana lakini ardhi ya kulima mazao ya chakula inakosekana. Acheni kucheza na private sector/capitalist economy, is very risky if unregulated.Tanzania mnafikiri economy ya nchi inafaa iendeshwe na serikali.
Kenya tunaamini economy ya nchi inafaa iendeshwe na private sector.
Makampuni yakiwa binafsi, yataweza compete, innovate na hio ndio faida kubwa ya uchumi.
Evidence iko kila mahali.
Katika nchi zote za East Africa, makampuni kubwa ya Kenya yanatawala karibu kila sector. Kutoka benki, hadi insurance, petroleum, consumer goods etc.
Mashirika ya serikali ambayo yameweza kufaulu ni yale tu ambayo yana monopoly. Yaani hayana competition yoyote kutoka private sector, kama vile KenGen.
Hahahahaha, kwanini unatoa mifano ya USA badala ya kutolea mifano China ambayo kwa sasa ndio inateka dunia nzima na hata hiyo USA eanakopeshwa na China, Uhuru kila Mara anaenda China kuomba biashara na mikopo, nilitegemea utumie China kama mfano badala ya USA, au ndio muendelezo wa kuwalamba miguu wazungu?.
Acha kujidanganya, nchi zote duniani, kama umezunguka Ulaya yote na Japan, maswala ya Energy(Electricity, gas, Nuclear, coal), vyote viko centralized. Serikali lazima ziwe na udhibiti mkubwa. Hakuna nchi ambayo imebinafsisha, japo kuna wazalishaji binafsi, lakini lazima wote wanaiuzia serikali ambayo ndiyo inayouza kwa wananchi, hata huko USA ni hivyo hivyo.
Ethiopia Airline, 100% ni Government owned, unafanya vizuri kuliko KQ ambayo ni partially private. RVR yenu inafanya vibaya pamoja na kwamba imebinafsishwa.
Nimekuambia, hivi hawa wasomi wote wa Kenya ambao wanasema lengo la serikali kuuza haya mashirika ni ili kupata pesa za bajeti hawajui kitu wewe ndio unayejua zaidi?, nani aliyekuambia bajeti ya nchi inapata pesa kutoka katika source moja pekee, hata wakipata 1% toka kwenye pesa ya kuuza haya mashirika, hiyo ni miongoni mwa sources nyingi serikali inatumia kupata pesa, sasa hivi kodi zimeongezwa sana na bei ya mafuta IPO juu huko kwenu, vyote hivyo ni vyanzo, wakiongezea na hii pesa ya mashirika ndio wanajazia bajeti.
The Heathrow is not privatised but conceeded to a private party. This is the origin of the word concession
Since when China became a capitalist?, Do you even know the difference between capitalism and Socialism?It wasn't until China adopted capitalistic policies that their upward trajectory started.
Since when China became a capitalist?, Do you even know the difference between capitalism and Socialism?
Since when China became a capitalist?, Do you even know the difference between capitalism and Socialism?
I don't support this privatisation thing. Watu wengine hapa wanasema eti privatisation ni nzuri. Nakumbuka nikifunzwa mambo ya SAP (Structural adjustment programmes) ya IMF na jinsi ilifilisisha Africa nzima. SAP ilikuwa ni forceful privatisation of govt companies by IMF to foreigners. Africa actually de-industrialised during this period of the 80's. It is usually called "Africa's lost decade". Privatisation can back-fire , it doesn't always work. The most recent example is RVR (Rift valley Railways) which was privatised to an Egyptian consortium that was so corrupt they destroyed the company. Profitable govt companies should never be privatised. That is my opinion. Hizo zingine loss-making companies wanaeza uza
RVR was privatized earlier than that.Safaricom was privatized in 2000.
Does that means capitalism?, Nenda uone wanavyofanya wachina, Serikali inabaki kuwa biggest share holder, na share zinazouzwa zinauzwa kwa community.Even China has started seeing the light. They have embarked on privatizing some of their State Owed Enterprises.
View attachment 925780
RVR was privatized earlier than that.
Does that means capitalism?, Nenda uone wanavyofanya wachina, Serikali inabaki kuwa biggest share holder, na share zinazouzwa zinauzwa kwa community.
Kwanini hutaki kuanga nje ya profit?. Private sector inaangalia faida pekee. Ndio sababu zinaendesha biashara kwa ufanisi zaidi, Leo hii KPA unaweza kuwa imeajiri zaidi ya wakenya elfu 4, mkiwapa private sector watabakisha elfu moja pekee, yes efficiency itaongeza but in expense of unemployment, how do you balance this if you are the President of Kenya?My point is RVR is the single horror story you can think of.
Other privatizations have to the most part worked well.
Most of China's mjor companies are govt owned. E.g Construction and banks.Starting mostly in 1978.
When it undertook economic reforms. Allowing private inverstors to operate their own business. Opening up special economic zones etc.
Know your history.
Soma hapa - How China went from communist to capitalist
My opinion is based on what experts said about effects of privatisation on Africa's de-industrialisation. Even Imf itself admitted privatisation in Africa didn't work, it caused more poverty and unemployment. I know you know in the 80's most African governments used to own steel meels, cotton ginneries and so on. Unemployment was low, even here in Kenya. Imf with their jealousy of Africa's prosperity came to Africa in the pretext that Africa has too much debt and the governments have to stop doing commercial business. Governments were forced to fire people and sell very very profitable companies to foreign white masters whoSafaricom was privatized in 2000.
Huyu jamaa yeye anachoangalia ni profit pekee, hajali mamilioni ya watu wanapkosa kazi kwasababu ya privatization. Yeye anaulizia Tanzania mna mashirika mangapi tajika, lakini hajiulizi kwanini Kenya inakampuni kubwa na nyingi tajika lakini unemployment ipo kubwa kuliko Tanzania yenye mashirika machache. Hajiulizi kwanini Tanzania inajenga miradi mingi kwa kutumia pesa ya ndani kuliko Kenya yenye makampuni mengi yenye kutengeneza faida kubwa.Most of China's mjor companies are govt owned. E.g Construction and banks.
My opinion is based on what experts said about effects of privatisation on Africa's de-industrialisation. Even Imf itself admitted privatisation in Africa didn't work, it caused more poverty and unemployment. I know you know in the 80's most African governments used to own steel meels, cotton ginneries and so on. Unemployment was low, even here in Kenya. Imf with their jealousy of Africa's prosperity came to Africa in the pretext that Africa has too much debt and the governments have to stop doing commercial business. Governments were forced to fire people and sell very very profitable companies to foreign white masters who
bought the companies at a throw away price and were only interested in re-selling the companies to make a profit or breaking them down into smaller units and selling them. Some white owners decided to outright abandon these African companies after one or two years and so local business men bought them and mismanaged them and most of those companies are now dead. In Africa and Latin America, Imf admitted that the American model of privatisation did not work, they even apologized to African governments for destroying our economies.. I request you to kindly read about SAP programmes in Africa and Latin America. Safaricom worked, that is true, some privatisation works but don't assume all privatisation works. That is the mistake Imf did and Africa paid for it, for ten years in 80's Africa was in recession ( zero or negative economic growth). This is my opinion, you have the right to hold your own opinion too.