Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

Oh Lord! Yaani 33.3% unaona ndogo; are you serious?! Ulishawahi kujiuliza 1/3 ni ekari ngapi ambazo zinaweza kuzalisha kiasi gani cha mazao ya kilimo na hatimae kuepukana na fedheha ya baa la njaa kila mwaka?! Si useme tu kwamba eneo kubwa la Kenya! Tatizo la ardhi ya Kenya inamilikiwa na wachache na sio eti only 1/3 ndio suitable for rainfed agriculture!

Na kuhusu arable land kwa Kenya na Tanzania, World Bank hawa hapa:-


Sasa hizo takwimu zako za 33.3% vs 99% umezitoa wapi?

Na Kenya Land Alliance hawa hapa wanatujuza:-
32% ni semi arid na bado mnalia lia?! Yaani gap la 5% ndo la kuwafanya muwe mnakumbwa na baa la njaa kila mwaka huku mkiwa na 32% nyingine ambayo ni semi arid?! Btw, kama 1/3 ndiyo suitable for rainfed agriculture, how come watu wanaotamba kwamba ni smart waendelee kutegemea mvua karne ya 21?!
Now with both nations highly dependent on agricultural, do you see why we say Bongolalas have a weakness in their brains because our agricultural output is greater in value than yours.
Na wale wanaoleta hoja bila kuwa na facts tuwaitaje?!
 
the same daily Nation that you like to use as your reference wrote that it's actually not 75% it's OVER 75%
Daily Nation hilo hilo, na kwa habafri hiyo hiyo limeandika 18M hawana access to electricity, na 75% wana access to electricity! Which means, hao 18M ni 25%! Sasa kama 18M ambao ni 25% ndio hawana access to electricity, unataka kutuambia population ya Kenya ni 72 Million?!
 
Haya maelezo yako hayajajibu maswali yangu!!!
 
mdomo mingi coz umejua kufanya hesabu ya grade 1.,, anyway ni wapi hapo imeandika 18m hawana stima,?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli huwa hawaipendi, kuna mmoja jana anasema eti huwa tunalipia mashamba yetu kwa serikali
 
Mwangalieni huyu! Yaani wewe umeingia World Bank website, ukaona hiyo link na wewe ukaibeba kama ilivyo bila hata kusoma! Kama umesoma, ungekutana na hiki kitu:-


Ukiangalia hiyo figure, inafanana na approximation za kwangu ambazo niliandika:- Sasa hivi nyie Wapwa zetu shule mnaenda kusomea nini?! Au mkishajua Kiingereza cha kuwatambia Watanzania tu, basi!!!
 
Huu umeme utakuwa mjini tu sidhani uko Turkana, Napak, Kapoeta, Kakuma, Kalacha, Wajir, El Wako kama kuna umeme kweli
Man, sikutaka tu kuwaambua hawa Wapwa zetu! Nimesoma ripoti ya REA ya Kenya, yaani inasikitisha!!!
 
Ile ya makaratasi au kuna nyingine
Yenu hata kwenye makaratasi hamna.. in theory and practice hampo.
And GDP gap between TZ and KE is widening.....mambo ya GDP zungumzeni na Uganda sasa.
 
sijui misalaba...unajua maana ya access...bwahahaaaa...km hujui sema nikufunze basi...wacha kuja na vihesabu vya kujiabisha
 
Naona unaanza matusi baada ya kudhihirisha umburula wenu!!! Labda nikuulize swali: Unataka shari, hizo shari unaziweza lakini?!
Matusi gani, unauliza maswali nakujibu, or how do you want me to answer someone who is not willing to receive an answer..
You asked how KE is ahead ...
First of all Ke is still the biggest economy in the Eastern Africa region.. number show that.
Our military spending , business competitiveness , innovation, science and technology are ahead of all countries in Eastern Africa.

Investment in technology companies is also the highest, we have more institutions of higher learning than all East African nations, we also have the highest literacy rates and the most skilled man power in the region..

Niendelee ama nisiendelee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…