Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

sijui misalaba...unajua maana ya access...bwahahaaaa...km hujui sema nikufunze basi...wacha kuja na vihesabu vya kujiabisha
We jamaa unaonekana kilaza sana wa hesabu ndo maana tangia muda huo bado uko pale pale! Sasa kukuonesha Watanzania hatubahatishi, hesabu zangu zilisema:
Na current World Bank Report inasema:-



Pole sana kama hesabu zinakupiga chenga!! Tena pole kweli kweli manake hizo ni hesabu za shule ya msingi!!
 
Yenu hata kwenye makaratasi hamna.. in theory and practice hampo.
And GDP gap between TZ and KE is widening.....mambo ya GDP zungumzeni na Uganda sasa.
Hiyo GDP yenu ambayo inashindwa kumalizia miradi yake, hiyo GDP inayoshindwa Kupambana na baa la njaa
 
Hujajibu! Post yangu ilikuwa inasema:-
Nimezungumzia suala la KE kupigwa bao na Ethiopia kuwa leading economy! Kujibu ulitakiwa kukataa hiyo hoja kwa data!

Nikakuletea hoja kwamba wakati wa ujamaa, especially from mid-1970's to 1980's uchumi wa Tanzania ulivurugika sana na ulikuwa too far behind compared to Kenyan Economy! Hizi ni zile enzi ambazo hata dawa ya meno watu walikuwa wanategemea kutoka Kenya! Kujibu hiyo hoja ulitakiwa kuweka historical data kuonesha gap halipungui, bali linazidi!!

Nikaleta hoja ya military power! Nimehoji Kenya imewahi kupigana vita ipi ikashinda zaidi ya kutolewa jasho na wanamgambo wa Al Shabaab ambao hawana hata military training!

So, unless kama hujui nini maana ya kujibu hoja, but sorry to disappoint you kwamba, kuorodhesha GDP by country hakujajibu hoja! Na badala ya kutamba kwamba "uendelee", ningekushauri usiendelee bali jibu hoja kwanza! Hoja kwa hoja na sio kila wakati kubadili magoli!!
 
Wewe jamaa ni kiboko👏👏👏👏👏👏
 
I have told you Kenya GDP has surpassed Ethiopia Again in 2018, i gave you data.... analyse it yourself..



On the military, our nation has never been invaded, we are in somalia right now, and in the 60s we fought a more difficult insurgency war against the shitfa funded by Siad Barre which we crashed.

And i will say this again, TANZANIA IS A PAPER TIGER.

Sikatai TZ imepiga hatua recently na policy za ujamaa ziliikwamisha hapo awali, lakini hata serikali ya Moi kwa miaka 24 alipora KE karibu iporomoke, sana sana from 92 to 99, wakati alipokuwa anatoka uchumi ulikuwa unadidimia - growth was -2% ..

Majibu gani mengine unataka?

How comes all Bongolalas here speak the same way.. ? disputing everything, and twisting the points of arguments..
Hata mkipewa data, mnadai ni makaratasi..
 
Hivi nyie watu mna matatizo gani?! Nimegundua nyie watu mkibanwa kwenye facts huwa hamkurupuki manake mmezoea sana kujenga hoja kwa mapicha picha; kama mapicha ya barababara, mapicha ya maghorofa n.k! Umeniwekea link ambayo, baada ya kutafuta sana, ndo nikakutana na hii sentensi:-
Full implementation of the Last Mile Connectivity Project will facilitate Government objective of connecting 70% of Kenyan households by 2017 thereby achievement of universal access by 2020.
Na hizo possible success stories kutoka national utility company hata Tanzania zipo lakini hapa hatuzungumzii masuala ya objective bali achievement! Na ndio maana, ingawaje objective yenu ilikuwa connectivity ya 70% by 2017, lakini WB wanatuambia by 2018, access to electiricity (not connectivity) ni only 64%!
 
Nigger please, so who has more accurate data , Kenya Power Co or World Bank?
 
enheee!!!misalaba...naona umeingia katika kumi na nane sasa...umenipa dat ya world bank inayosema kenya ni 64%....lkn vile vile ukashindwa kuleta ya bongo...ukasoma kw gazeti jamaa wameandika 18m people bado hawana access....sasa wewe mwenye unajua hesabu 18m kati ya 40m hawaja access umeme inamaan karibia nusu ya kenya kenya hawaja access umeme...so 64% haingiliani pia mr. mathematician...huhuhuuuuu....

sasa kajiulize kati ya lile gazeti na world bank nani kadanganya....yani unakurupuka tu....
 
Yale yale! Kwanza unapotoa data unatakiwa kuweka reference, na ndivyo nilivyofanya! Au kutoa refetence uliogopa ningekutana na hii paragraph inayosema:-
This ranking is based on projection by International Monetary Fund (IMF) outlook October 2018 for year 2019 and 2023.
Man, hiyo ni projection na sio achievement!

Na ingawaje hukuweka reference, hizo data umezichukua Statistics Times, an Indian web portal!

Anyway, ngoja niende zangu job!!
 
If you don't mind, naomba nikupuuze manake umeonesha wazi huna uwezo wa kujenga hoja!!!! Ningekuwa na time (naenda job), ningeendelea ku-argue na vulcan lakini wewe, dah! I'm sorry man!
 
nimeweka data source mbili, za projections ya IMF , KE GDP iko 99Billion USD, na nikaweka data ya 2018 - 89Billion USD, na zote tuko mbele ya Ethiopia.
 
Eti takwimu za World Bank zinaionea nchi ya ze catarist. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimeweka data source mbili, za projections ya IMF , KE GDP iko 99Billion USD, na nikaweka data ya 2018 - 89Billion USD, na zote tuko mbele ya Ethiopia.
Hapa hoja ni Electricity access bwana sio GDP..
Ukitaka GDP kumbuka Imf imesema kenya currency ni 17.5% inflated😂😂 kubali hilo kwanza vile unakubali IMF kusema gdp ni $99b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…