Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

safi sana...
wengine watakuja na maneno ya waziri hapa
 
Mambo mengine hata muwe mnaona aibu kuandika, Kenya ina watu zaidi ya milioni 45 inatumia < 2 000 MW, hii ni aibu kubwa sana kwa kweli, kuna kipi cha kujivunia hapo? AK ina watu karibia sawa na Kenya inazalisha > 48 000 MW za Umeme na bado wana shida ya umeme, Malaysia ina watu milioni 32 inazalisha zaidi ya 34 000 MW za Umeme halafu mnaongelea 2 000 MW Kenya na kujisifu?
 
hahaha na Tanzania na watu 100 million.,?
 
I hope we will achieve 100% universal electricity coverage by 2022

But thats Bullshit, Kenya inazalisha < 2 000 MW za umeme, wakati ina watu zaidi ya milioni 45, huo ni umeme mdogo sana na hauwezi kufanya chochote.
 
Hili suala nusra tutoane macho humu kipindi fulani, tulibishana na Watanzania hadi uzi ukapata kurasa nyingi za pumba tupu.
Ni ajabu Kenya kainchi kadogo bila madini, halafu zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini waliounganishwa na umeme ni mara mbili ya Tanzania
Yaani Kenya 75% wameunga tayari
Zaidi ya mara mbili ya Tanzania ambao ni 32.8%
Zaidi ya mara tatu ya Uganda 22%

Hii nchi yetu ni baba mkubwa ukanda huu, kila Mkenya tembea kifua mbele na usikubali kuambiwa kitu na mtu, tuendelee kujituma, tutie bidii, tupo sahihi tena kwenye njia kuu "raiti traki" kama wasemavyo Wabongo.
 
Mambo mengine hata muwe mnaona aibu kuandika, Kenya ina watu zaidi ya milioni 45 inatumia < 2 000 MW, hii ni aibu kubwa sana kwa kweli, kuna kipi cha kujivunia hapo? AK ina watu karibia sawa na Kenya inazalisha > 48 000 MW za Umeme na bado wana shida ya umeme, Malaysia ina watu milioni 32 inazalisha zaidi ya 34 000 MW za Umeme halafu mnaongelea 2 000 MW Kenya na kujisifu?
Povu lako lazima liko na chumvi leo.
 
But thats Bullshit, Kenya inazalisha < 2 000 MW za umeme, na watu zaidi ya milioni 45,
na Tanzania je ,? 34% electricity connectivity meaning half your population don't have access to electricity.,,with the 2000 MW you claim we have yet 78% connectivity
 
Hili suala nusra tutoane macho humu kipindi fulani, tulibishana na Watanzania hadi uzi ukapata kurasa nyingi za pumba tupu.
Ni ajabu Kenya kainchi kadogo bila madini, halafu zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini waliounganishwa na umeme ni mara mbili ya Tanzania
Yaani Kenya 75% wameunga tayari
Zaidi ya mara mbili ya Tanzania ambao ni 32.8%
Zaidi ya mara tatu ya Uganda 22%

Hii nchi yetu ni baba mkubwa ukanda huu, kila Mkenya tembea kifua mbele na usikubali kuambiwa kitu na mtu, tuendelee kujituma, tutie bidii, tupo sahihi tena kwenye njia kuu "raiti traki" kama wasemavyo Wabongo.

Ndio hiyo ameanza. Wako gizani and they still have the audacity to even comment on anything Kenyan
 
Now tell us about Danganyika

Its not about Danganyika, ni aibu nchi yenye watu zaidi ya milioni 45 kujivunia kuzalisha < 2000 MW za umeme 21 century, kwa kawaida huo umeme ulipaswa kutumia na Mombasa tu na siyo nchi nzima!
 
na Tanzania je ,? 34% electricity connectivity meaning half your population don't have access to electricity.,,with the 2000 MW you claim we have yet 78% connectivity

The devil is in the details anasema Muzungu, Kenya haizalishi zaidi ya 2 000 MW na watu zaidi ya milioni 45, sasa, mtacheza na namba na misamiati ya kizungu sijui connectivity mnavyotraka lkn huo ni umeme mdogo sana kwa zaidi ya milioni 45 haijalishi namba gani mnaweka!
 
Its not about Danganyika, ni aibu nchi yenye watu zaidi ya milioni 45 kujivunia kuzalisha < 2000 MW za umeme 21 century, kwa kawaida huo umeme ulipaswa kutumia na Mombasa tu na siyo nchi nzima!
Tell us about your Darkness. Don't pretend you know anything about Kenya when you hardly even know the corners of your house
 
Its not about TZ/Ke, I am bigger than that!
 
The devil is in the details anasema Muzungu, Kenya haizalishi zaidi ya 2 000 MW na watu zaidi ya milioni 45, sasa, mtacheza na namba na misamiati ya kizungu sijui connectivity mnavyotraka lkn huo ni umeme mdogo sana kwa zaidi ya milioni 45 haijalishi namba gani mnaweka!
someone answer this fool
 
Leo umeamini mzungu si huwa mnasema ni brainswashing. Just stop hanging your stinking panty Here. Yuck
 
fool ni wewe unayejisifia MW 2000 kwa watu zaidi ya milioni 45, ulikwenda shuleni kusoma english language tu lkn akili hamna kitu!
Hahaha fool I can't keep up with your stupidity you win .,,here is the direction to the trophy..,take a map, borrow a car then drive straight to hell
 
Back
Top Bottom