Kenya tunashinda T.Z katika michezo zote duniani

Kila nikisoma comments za Wakenya namfikiria Makonda. Sijui ana hali gani sasa hivi!...
View attachment 1140653

Halafu huyu jamaa kwa jinsi huwa mnamtaja taja na kumfikiria, nahisi atakuja kuwa rais wa nchi yenu hiyo, hivi unajua msemo kwamba "in politricks, any publicity is good publicity".... Kwa mfano Raila hapa kwetu hakua na umaarufu wowote, lakini tulipoanza kumtaja taja kwa mabaya, ghafla akaibuka na kuwa na ushindani wa hali ya kishindo......hehehe Hivyo jiandaeni kisakolojia baada ya jiwe Tanzania itaongozwa na Bashite wa kutokea Kolominje, raundi hii Wasukuma ndio habari ya mjini Bongo.
 
Duuh!...
 
mwaweza vyote ulivyotaja ila hapo kwenye jeshi napata ukakasi kidogo kuwaza,kwa hilo hamtuwezi usijidanganye mzee
Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
 
Uchumi wa kwenye makaratasi, jeshi hata sisemi kitu [emoji23][emoji23][emoji23] miundo mbinu sehemu moja tu, elimu kusomea kingereza tu huku kichwani hamna kitu
 
Tz tukiamua kuwekeza kwenye ndondi(boxing) hakuna nchi yakutushinda africa nzima
 
Uchumi wa kwenye makaratasi, jeshi hata sisemi kitu [emoji23][emoji23][emoji23] miundo mbinu sehemu moja tu, elimu kusomea kingereza tu huku kichwani hamna kitu
Hayo maelezo yako na ya IMF na WB mbna yanapishana bro
 
kazi mliiweza ni kurudisha magoli tu.
Wuhuu...mpira ni dakika tisini...tumewapiga vitatu na njaa yetu...

Ile siku tutashiba haki ya nani ni mtakula shoti za maana hadi mzimie mechi iishe kabla mda
 
Kwenye swala la ukabila na wizi hapo naamini mmetushinda.
 
Back
Top Bottom