mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hakuna mpira umechezwa na tz jana,na stil mkaruhusu goli mbili.Wuhuu...mpira ni dakika tisini...tumewapiga vitatu na njaa yetu...
Ile siku tutashiba haki ya nani ni mtakula shoti za maana hadi mzimie mechi iishe kabla mda