We bwege kweli.
Museven hakuhusika embu acha uongo.
Idd Amin alipigwa Maubutu akarudi madarakani.
Sawa wananchi walikosa uzalendo ila hakuna muasi aliyehusika.
Ilikua waasi wa Idd Amin na jeshi la Tanzania.
Na ww mkenya huna lolote.Kama Alshabab mshindia kubeli na kandoro anakuvamia west gate na kukuchabanga usifikirie kupigan na JWTZ ambao ilimzima m23 wa Congo.
Tena nyie kwenu tunawaleta wale waliotoka depo juzi tu wawachabangeee.
Kama mna umoja na uzalendo Alshabab waliwafanya nn km sio kuwakeketa na ukiangalia hawana ht mafunzo.
Waasi tu wale basi.
Na huko Somalia wajeda wenu wanakeketwa daily.
Mnajisifu mna jeshi?!
Iangalie JWTZ ilipokuwa Comoros na Congo hadi sasa.
Nahisi utakua bado mchanga sana, aidha wewe wa juzi tu kiasi cha kutegemea historia ya shuleni, nenda ukatafute mzee aliyehusika kwenye vita vya Kagera akuelimishe nini kilitendeka haswa na uhusika wa Museveni. Sijui kwanini shuleni huwa mnafichwa baadhi ya hisitoria.
Vita hivyo Idd Amin ilikua lazima apoteze maana
- Waganda walikua wamemchoka, hawakua na uzalendo na walitoa msaada kwa kila hali
- Waasi wa Uganda walikua maelfu kuna kundi liliongozwa na Museveni
- Kundi lingine la waasi liliongozwa na Tito Okello na pia uhusika wa Obote
- Kunao hata makundi ya wapiganaji waliotokea Msumbiji
- Tanzania iliwahusisha hadi polisi na mgambo, yaani wote walilazimika kuhusika
Mwanangu soma historia ujiongeze, wacha kutegemea unacholishwa shuleni. Na ikumbukwe kwenye vita hivyo, Tanzania ndio ilikua mchokozi, wazee wenu walimchokonoa Idd Amin kwa kulea makundi ya waasi dhidi ya Uganda, walikua wanapata mafunzo Tanzania.
Hebu waza leo hii mskie kuna maelfu ya wapiganaji Watanzania wanaopata mafunzo Kenya ili kujiandaa kuipindua Tanzania, ni wazi huo utakua uchokozi uliopitiliza. Mojawapo wa sababu za Tanzania kuwa maskini hadi leo, ni hicho kiherehere cha kupenda kuingilia ugomvi kwenye nchi za watu.
Halafu la M23 huna haja ya kulitaja humu, hao walikua watoto waliokua wanaogopa kufa, kupigana na watu kama hao ni rahisi sana, jaribu mpigane na mashababi bin shetwan ambao huja kwa kujilipua, wasio ogopa kifo, yaani kwao kifo ndio raha yao, hapo ndio mtaelewa nini maana ya vita.