MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kila nikisoma comments za Wakenya namfikiria Makonda. Sijui ana hali gani sasa hivi!...
View attachment 1140653
Halafu huyu jamaa kwa jinsi huwa mnamtaja taja na kumfikiria, nahisi atakuja kuwa rais wa nchi yenu hiyo, hivi unajua msemo kwamba "in politricks, any publicity is good publicity".... Kwa mfano Raila hapa kwetu hakua na umaarufu wowote, lakini tulipoanza kumtaja taja kwa mabaya, ghafla akaibuka na kuwa na ushindani wa hali ya kishindo......hehehe Hivyo jiandaeni kisakolojia baada ya jiwe Tanzania itaongozwa na Bashite wa kutokea Kolominje, raundi hii Wasukuma ndio habari ya mjini Bongo.