Kujua kusoma sio kujua kuelewa...na km n views pia watu hununua siku hz...
Na vile vile...kutoa nymbo nyingi na kupata views nyingi kw mda mchache haikufanyi wewe kuwa mkali, bali ni jitihada na mhusika tu...nadhani umeshanielewa....

Kwahiyo kama kutoa views nyingi kwa muda mchache inakufanya ww uonekane nani?!
We jamaa sukuma week zakulemaza.!!!
Ukiona hivyo ujue ww ni fundi mpk unateka attention ya audience in large quantity within short time.
We bwege kweli.
Museven hakuhusika embu acha uongo.
Idd Amin alipigwa Maubutu akarudi madarakani.
Sawa wananchi walikosa uzalendo ila hakuna muasi aliyehusika.
Ilikua waasi wa Idd Amin na jeshi la Tanzania.
Na ww mkenya huna lolote.Kama Alshabab mshindia kubeli na kandoro anakuvamia west gate na kukuchabanga usifikirie kupigan na JWTZ ambao ilimzima m23 wa Congo.
Tena nyie kwenu tunawaleta wale waliotoka depo juzi tu wawachabangeee.
Kama mna umoja na uzalendo Alshabab waliwafanya nn km sio kuwakeketa na ukiangalia hawana ht mafunzo.
Waasi tu wale basi.
Na huko Somalia wajeda wenu wanakeketwa daily.
Mnajisifu mna jeshi?!
Iangalie JWTZ ilipokuwa Comoros na Congo hadi sasa.
Nahisi utakua bado mchanga sana, aidha wewe wa juzi tu kiasi cha kutegemea historia ya shuleni, nenda ukatafute mzee aliyehusika kwenye vita vya Kagera akuelimishe nini kilitendeka haswa na uhusika wa Museveni. Sijui kwanini shuleni huwa mnafichwa baadhi ya hisitoria.
Vita hivyo Idd Amin ilikua lazima apoteze maana
- Waganda walikua wamemchoka, hawakua na uzalendo na walitoa msaada kwa kila hali
- Waasi wa Uganda walikua maelfu kuna kundi liliongozwa na Museveni
- Kundi lingine la waasi liliongozwa na Tito Okello na pia uhusika wa Obote
- Kunao hata makundi ya wapiganaji waliotokea Msumbiji
- Tanzania iliwahusisha hadi polisi na mgambo, yaani wote walilazimika kuhusika
Mwanangu soma historia ujiongeze, wacha kutegemea unacholishwa shuleni. Na ikumbukwe kwenye vita hivyo, Tanzania ndio ilikua mchokozi, wazee wenu walimchokonoa Idd Amin kwa kulea makundi ya waasi dhidi ya Uganda, walikua wanapata mafunzo Tanzania.
Hebu waza leo hii mskie kuna maelfu ya wapiganaji Watanzania wanaopata mafunzo Kenya ili kujiandaa kuipindua Tanzania, ni wazi huo utakua uchokozi uliopitiliza. Mojawapo wa sababu za Tanzania kuwa maskini hadi leo, ni hicho kiherehere cha kupenda kuingilia ugomvi kwenye nchi za watu.
Halafu la M23 huna haja ya kulitaja humu, hao walikua watoto waliokua wanaogopa kufa, kupigana na watu kama hao ni rahisi sana, jaribu mpigane na mashababi bin shetwan ambao huja kwa kujilipua, wasio ogopa kifo, yaani kwao kifo ndio raha yao, hapo ndio mtaelewa nini maana ya vita.

Vipo nilivyojifunza kutoka kwako.
But usifananishe KDF wanaopigwa na mgambo wa Alshabab na TPDF mkuu utaumia.Hao wanaowatwanga waliitekaga meli waliona cha mtema kuni mkuu.
Nashangaa nyie mwakandwa daily
TPDF bado hawajakumbana na vita vya kisasa, vita dhidi ya wafia dini walioaminishwa dhawabu ya kujilipua ni kwenda kugegeda mabikira 72 na pombe isiyoisha, hawa ni aina ya adui ambao hata wamemshinda Marekani, hata Urusi ameshindwa kupambana nao, hivyo kwa taifa maskini kama nyie hamuwezi kutia guu kwenye ugomvi wa hawa watu.
Hebu waza wanywa gongo wa Kitanzania pale msitu wa Ambani walisababisha nchi yote mkaweweseka, je wangekuja mashababi wa kweli, nakumbuka ipo siku mashababi walihojiwa kuhusu taharuki ya Tanzania wakasema sio wao na hawana haja ya kuvuruga Tanzania, hivyo wanaowasumbua huko ni vijana wenu wamelewa gongo tu.
M23 ni wapiganaji waliotuhumiwa kuteka watoto na kuwahusisha kwenye vita, wale walikua wezi wa madini sio wafia dini au wapiganaji wa kweli. Ni watu wa kupigwa mpigo mmoja tu mnawasahau, lakini mashababi ukiwapiga wanaingia uraiani na kuvaa makanzu na kujifanya mashekhe, siku ukizubaa kidogo wanaliamsha na ndio kitu kinaendelea hadi leo.
Wakiteka sehemu ya madukani kama Milimani city, inabidi uwajie kikomando maana humo wanakua tayari kufa, wanajilipua mabomu, hawapigani waishi, ila wapate fursa ya kwenda kuonja mabikira.

Na ukabila mnatushinda....Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
Ahahahaaa umesababisha nikumbuke ya AY na Amani.... Ya Ally Kiba....Kugegeda pia hawatuwezi
Vipo nilivyojifunza kutoka kwako.
But usifananishe KDF wanaopigwa na mgambo wa Alshabab na TPDF mkuu utaumia.Hao wanaowatwanga waliitekaga meli waliona cha mtema kuni mkuu.
Nashangaa nyie mwakandwa daily
Acha ujinga wewe!!Logistics wise mko zero mna only 70 armoured vehicles for transporting troops .Kenya iko na over 500 .
Helicopters mko na only 4 Kenya tuna more than 80.
Transport aircrafts mko na 6 vs kenyas 19
Iwapo Vita itatokea Kati ya Kenya na Tanzania ( conventional warfare) head to head mtapokea kichapo takatifu.
nenda kajifunze kiswahili kwanza wewe juha!Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?
Kiswahili ndio tuanze kula albino???Kafie hukoonenda kajifunze kiswahili kwanza wewe juha!
ACHA POVU WEWE, NYIE NI SIYO SAIZI YETU!Kiswahili ndio tuanze kula albino???Kafie hukoo
Ndio maana mabibi zenyu walikimbilia Tz kwa vile hamuwezi kuwatia mimba [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?