Hiii kitu ilianzia kwenye ile ishuu ya ngan na gesi ambapo kenya ilikuwa inablock while at same time ilikuwa ina export more goods as compared in retaliation tanzania decided partial embargo on kenyan goods.
All in all kiukweli busara inatakiwa itumike ili kuweza kumaliza hili tatzo. Bado tanzania au kenya zinahitajiana sana. Kenya haiwez zalisha kila kitu wala tanzania haiwez zalisha kila kitu. Mfano mdogo kenya wanategemea sana vitunguu swaumu, mchele, mahindi,maharage na mambo mengi chungu mzima toka tanzania na hata wafanyaje hawawez jitosheleza maana kuna sudan kule ambao almost 90 :% wanategemea toka kenya na uganda na hizo chini nahisi hata ten percent hawajaweza timiza.
Hizo bidhaa tukiwa serious kiukweli vinaweza ingizia pesa zaid hata ya hizo ngano tunazokimbilia. Na ukweli kwa tanzania tuseme ukweli hakuna ngano ya kutosheleza kakiwanda kadogo kama nyati walau hata kwa miez sita zaid tuna import.
Kwa upande kwangu wakenya kwenye ishu ya ngano wako sawa.
Lakini tukija kwenu wakenya mko patriotic sana mpaka mnakela sana,
Tukija kwenye importation kenya ilikuwa ina import sana toka tanzania na hata tukija kwenye majority economic benefits watanzania wengi walifaidika hasa wale waliojitoa muhanga kufanya biashara ila wale waliotegemea tuuze magar kenya waliendelea kulalama.
Hivi ni wakenya wangapi walinufaika kwa wao kuuza pipi za pk au vyombo vya plastic as compared kwa wale watz tuliokuwa tunapeleka mchele, mahindi, maharage, viazi, matikitti, vitunguu swaumu.
Hivi ukienda namanga enzi zile gari ngapi toka kenya zilivusha mizigo as compared to tanzania cars into kenya?
Kwangu mimi naona sisi watanzania tuna nafasi sana ya kutengeneza pesa zaid ya hata hao wakenya na tuna uwezo wa kucompete tena tukawini soko lao zaidi yao tukiwa na idea ya kuweka tofauti zetu pemben. Wakenya waache yale masuala sijui huyu sio mkenya asifungue hiki kwetu mfano wa azam kule mombasa, tushindane kwa pesa na uwezo na akili.
Kama nina uwezo na kulipia kodi ya kununua marcopolo paradiso g7 dd1800 niruhusiwe nije niajiri wakenya badala ya kuzuia eti nitamuua modern coast.
More than that matajiri wa kitanzania achen ukiritimba miaka nenda rudi umeng'ang'ania huachii kizazi kijacho. Shenzy zenu