The Prezident
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 459
- 176
kwani kuna nini tunanufaika nacho toka nchi hizi? waende hatuhakufa kwa kuwakosa
Koba mwakilishi wao aje ajibu hapa... na alivyolelewa hakosi jibu la kijinga!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kuna nini tunanufaika nacho toka nchi hizi? waende hatuhakufa kwa kuwakosa
kama una akili utajua tu kuwa tanzania tushatengwa na umoja wa africa mashariki.
tujiunge tuwe state mojawapo ya united states hahahaha
Lazima Tanzania tuwekewe
vikwazo na mataifa mengine, kwa kuwa sasa tumegeuka kuwa wauza madawa ya
kulevya hivyo kila nchi inatuchukia.
ushauri wa bure...go learn and focus on your GRAMMAR!!!!!!Cmon you said it very ... l! may be I add this. To my understand Tanzania is a Pure individual SOUL! With uniqure Identity maturity and able to take care of ITSELF ... AND INDEED THIS SHOULD BE VERY CLEAR TO THE NEIGHBOURS ... ESPECIALLY PRESIDENT KAGAME!
Umesema ukweli kabisa na lazima tubadilike haraka sana. LAKINI usichanganye siasa za ndani ya nchi na zile za nje ya nchi.
Lazima Tanzania tuwekewe vikwazo na mataifa mengine, kwa kuwa sasa tumegeuka kuwa wauza madawa ya kulevya hivyo kila nchi inatuchukia.
wana wivuhao
ushauri wa bure...go learn and focus on your GRAMMAR!!!!!!
Acheni ku'panic bandugu!
Tubadirike kwani sisi tumekua vinyonga! Tubadirike tuweje! We are Tzns
hutuburutwi, we do our things in our own terms at least ofcouse with
EXCEPTIONS when it come to investor. Tz has banded almost round backward
to please outside world for what!? Beside this is how things stand as
of now!
View attachment 105397
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??
Siku zote nilikuwa naziangalia politics za M7 kwa jicho la tahadhari. Nikaja kubaini kwamba wako very close na Uhuru, ambaye namchukulia kama mtu asiyetabirika.M7 na Kagame got long history. Ushirika huu wa watatu hawa wahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa na serikali yetu, kwani watatu hawa wanamezea mate sana rasilimali zetu.