Ni bora kuuvunja Shirikisho la EA (EAC) hawa watu hawana maana kushirilkiana nao halafu wacha wajitenge
Magazeti mbona yanaandika vingine kuwa baadhi ya Marais hawakuhudhuria na sababu zilitolewa,JK namsifu kwa kutohudhuria na taarifa zimetolewa mbona hiyo ya Visa haipo?
Marais wakosa mkutano - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliokuwa ukifanyika Nairobi, Kenya, umemalizika jana bila kuwepo kwa
Rais Jakaya Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mawaziri wa ulinzi kutoka nchi za Maziwa Makuu, walitoa taarifa zao na kujadiliwa.
Kizimbuzi weka link kuliko kusema umesikia tu kutoka DW je ni lini na nani kasema? ile ya Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Julai nimeikubali imekaa ki Great Thinker kabla ya muda