Kenya, Uganda, Rwanda Kufungua Mipaka

Kenya, Uganda, Rwanda Kufungua Mipaka

Mbona hata Tz kwenda Kenya au Uganda hutumii visa,passport inapigwa muhuri mpakani kuonyesha umeingia lini na utakaa siku ngapi..

huo muhuri ndio visa yenyewe au wewe ulijua yai viza? wao sasa hiv watapita bila passport yan ukiwa na id tu.
 
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??

Na tutaendelea kuwa crack down nyie watutsi mpaka tuwaondoshe wote hapa nchini. Tumeshachoka kuishi na binadamu waliokosa tabia za utu.
 
Maskini you don't know what you are talking about !!!!
Unafikiri kujenga reli ni mchezo wa Lego ? Unajua Lego ni nini ?
Ndoto tu.
 
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, nchi tatu au mbili zinaruhusiwa kuunda ushirika wa kiuchumi na kijamii ndani ya shirikisho.Kwa upande wa Tanzania wao wanapenda uwekezaji wa wageni kuliko nchi jirani.Huu ndiyo ukweli mchungu!

hivi nchi kama rwanda inaweza kuwekeza nini hapa tz,si tutaambulia kuingiziwa wafugaji na ma ngombe yao ya ankole na bunduki za k47juu, si afadhali yetu tz tumewekeza rwanda kiwanda cha unga azam kikubwa tu!!!!
 
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?
 
Huhitaji visa kwenda uganda au Kenya. Nadhani mleta mada amekosa kuelewa habari.
Tafuta habari ilivyo kwa uhalisia.
 
Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?
Ha haha haa leo Nairobi na Kigali ndio wanaiba mali,ngoja nikupe hint...MIKATABA!!!
 
Na tutaendelea kuwa crack down nyie watutsi mpaka tuwaondoshe wote hapa nchini. Tumeshachoka kuishi na binadamu waliokosa tabia za utu.
Utaishia kuwakamata interahamwe wenzako wanaoteka mabasi maporini.
 
Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?
Hakuna mtu anakulazimisha kuungana nao na ndio maana wanafanya mambo yao wenyewe bila kuishirikisha TZ, nyie ndio mnapiga makelele tuu humu mara mmetengwa oooh mara hatuwahitaji,wezi wa maliasili ni hao wanao sign mikataba bomu kila siku hapo Dar es salaam au Hotelini London.
 
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??
Koba,

..mimi nadhani viongozi wetu hawako makini.

..hakuna mtu ametuzuia kuimarisha bandari zetu pamoja na reli ili ziweze kutumika na majirani zetu.

..Kenya wana mradi mkubwa wa bandari inayojengwa Lamu, anachofanya Uhuru Kenyatta ni kuhakikisha Rwanda,Burundi,na Eastern Congo, wanatumia bandari hiyo.

..tusipokuwa makini, na tukiendelea na porojo-porojo, basi hata Tanzania nayo italazimika kutumia bandari ya Lamu.

..sasa hivi hata hatueleweki tunataka kujenga bandari Tanga,Bagamoyo/Mbegani, au D'Salaam.

cc😡NasDaz, Mdondoaji, Mchambuzi, Nguruvi3, Ritz
 
Last edited by a moderator:
Koba,

..mimi nadhani viongozi wetu hawako makini.

..hakuna mtu ametuzuia kuimarisha bandari zetu pamoja na reli ili ziweze kutumika na majirani zetu.

..Kenya wana mradi mkubwa wa bandari inayojengwa Lamu, anachofanya Uhuru Kenyatta ni kuhakikisha Rwanda,Burundi,na Eastern Congo, wanatumia bandari hiyo.

..tusipokuwa makini, na tukiendelea na porojo-porojo, basi hata Tanzania nayo italazimika kutumia bandari ya Lamu.
I hope watakubaliana na wewe maana ukweli theres too much money to be lost mambo yakiendelea yalivyo.
 
..mimi nadhani viongozi wetu hawako makini.

..hakuna mtu ametuzuia kuimarisha bandari zetu pamoja na reli ili ziweze kutumika na majirani zetu.

..Kenya wana mradi mkubwa wa bandari inayojengwa Lamu, anachofanya Uhuru Kenyatta ni kuhakikisha Rwanda,Burundi,na Eastern Congo, wanatumia bandari hiyo.

..tusipokuwa makini, na tukiendelea na porojo-porojo, basi hata Tanzania nayo italazimika kutumia bandari ya Lamu.

..sasa hivi hata hatueleweki tunataka kujenga bandari Tanga,Bagamoyo/Mbegani, au D'Salaam.

Joka usiwe na wasi wasi na huyu muuza sura, muda wake unahesabika tu hivi sasa. Bagamoyo bandari pamoja na uwanja wa ndege ni white elephants tu. Mambo yote haya yanavyotokea ni kukuonyesha tu kwamba nchi hii ina utajiri wa kukufuru.

Wacha wauaji washirikiane na wauaji wenzao sisi tupo na tutaendelea kuwepo.
 
Tanzania a.k.a SLEEPING GIANT, Hii ni mbaya sana na inatishia uchumi wa nchi sababu hao jamaa wako kwenye mwendo kasi wa kunufaisha nchi na wananchi wao. Tutakaa hapa kupeana moyo this and that lakini in reality itakuwa imekula kwetu sababu ya lack of vision, lack of strategic leadership, na maneno mengi vitendo sifuri. Mimi na siasa mablimbali ila inanibidi niseme ukweli na kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa hiki kitendo kitakuwa na madhara makubwa sana hapo mbeleni kwa taifa letu. Lakini hatujachelewa kwa viongozi kujirudi nafsi zao na waliokoe taifa hili. Huko tunakoelekea ni kubaya ...............................................
 
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW

Hiyo ni very good move itawasaidia sana, nafahamu wanataka na sisi tuingie huo mkenge - Thubutu! hatutakubali huo ujinga wao.

Hilo linakwenda sambamba na Kenya kutaka kufanya VISA moja kwa EAC ili wawe wanakomba mpunga huo kwani wao ndio wanakuwa na ndege nyingi zinazotua kwanza Nairobi, katika karne hii bado wanafikiri tumelala watch out for the Nyang'aus.
 
Tanzania a.k.a SLEEPING GIANT, Hii ni mbaya sana na inatishia uchumi wa nchi sababu hao jamaa wako kwenye mwendo kasi wa kunufaisha nchi na wananchi wao. Tutakaa hapa kupeana moyo this and that lakini in reality itakuwa imekula kwetu sababu ya lack of vision, lack of strategic leadership, na maneno mengi vitendo sifuri. Mimi na siasa mablimbali ila inanibidi niseme ukweli na kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa hiki kitendo kitakuwa na madhara makubwa sana hapo mbeleni kwa taifa letu. Lakini hatujachelewa kwa viongozi kujirudi nafsi zao na waliokoe taifa hili. Huko tunakoelekea ni kubaya ...............................................

Hakuna madhara yoyote kama unavyotaka kutisha watu hapa. Je, unaweza kufafanua madhara hayo kinagaubaga? Je, vipi faida unazijua au umekariri tu?
 
Wacha kukariri wewe na kusikiliza hao vikaragosi wanaotumiwa kuandika wanachoambiwa na mabwana zao.
 
Back
Top Bottom