Sioni jipya hapo. Lolote liwalo Tanzania bado ipo strong!
Hakuna ubishi Mkuu !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni jipya hapo. Lolote liwalo Tanzania bado ipo strong!
Mbona hata Tz kwenda Kenya au Uganda hutumii visa,passport inapigwa muhuri mpakani kuonyesha umeingia lini na utakaa siku ngapi..
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, nchi tatu au mbili zinaruhusiwa kuunda ushirika wa kiuchumi na kijamii ndani ya shirikisho.Kwa upande wa Tanzania wao wanapenda uwekezaji wa wageni kuliko nchi jirani.Huu ndiyo ukweli mchungu!
Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Ha haha haa leo Nairobi na Kigali ndio wanaiba mali,ngoja nikupe hint...MIKATABA!!!Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?
Utaishia kuwakamata interahamwe wenzako wanaoteka mabasi maporini.Na tutaendelea kuwa crack down nyie watutsi mpaka tuwaondoshe wote hapa nchini. Tumeshachoka kuishi na binadamu waliokosa tabia za utu.
Hakuna mtu anakulazimisha kuungana nao na ndio maana wanafanya mambo yao wenyewe bila kuishirikisha TZ, nyie ndio mnapiga makelele tuu humu mara mmetengwa oooh mara hatuwahitaji,wezi wa maliasili ni hao wanao sign mikataba bomu kila siku hapo Dar es salaam au Hotelini London.Wakitaka hata kuungana wawe nchi moja hakuna shida. La msingi tanzania tusilazimike au kulazimishwa kuingia kwenye makubaliano yasio na maslahi kwa nchi yetu. Bila hata makubaliano tumeshageuzwa shamba la bibi. Wageni wanaingia kiholela na kupora ardhi na mali nchini kwetu. Nyara na madini yanaishia nairobi na kigali na kuuzwa nje bila tanzania kufaidika, je tukifungua mipaka rasmi?
Koba,Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??
I hope watakubaliana na wewe maana ukweli theres too much money to be lost mambo yakiendelea yalivyo.Koba,
..mimi nadhani viongozi wetu hawako makini.
..hakuna mtu ametuzuia kuimarisha bandari zetu pamoja na reli ili ziweze kutumika na majirani zetu.
..Kenya wana mradi mkubwa wa bandari inayojengwa Lamu, anachofanya Uhuru Kenyatta ni kuhakikisha Rwanda,Burundi,na Eastern Congo, wanatumia bandari hiyo.
..tusipokuwa makini, na tukiendelea na porojo-porojo, basi hata Tanzania nayo italazimika kutumia bandari ya Lamu.

..sasa hivi hata hatueleweki tunataka kujenga bandari Tanga,Bagamoyo/Mbegani, au D'Salaam.
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Tanzania a.k.a SLEEPING GIANT, Hii ni mbaya sana na inatishia uchumi wa nchi sababu hao jamaa wako kwenye mwendo kasi wa kunufaisha nchi na wananchi wao. Tutakaa hapa kupeana moyo this and that lakini in reality itakuwa imekula kwetu sababu ya lack of vision, lack of strategic leadership, na maneno mengi vitendo sifuri. Mimi na siasa mablimbali ila inanibidi niseme ukweli na kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa hiki kitendo kitakuwa na madhara makubwa sana hapo mbeleni kwa taifa letu. Lakini hatujachelewa kwa viongozi kujirudi nafsi zao na waliokoe taifa hili. Huko tunakoelekea ni kubaya ...............................................
Kagame hapo ana ajenda nyingine kabisa.anaandaa makao mapya ya watusi wenzie ikitokea vita.