VITA VYA KAGERA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 430
- 141
Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??
rwanda kuingiza bidhaa kupitia bandari ya dar ni cheap kuliko wapitie mombasa,waje uganda ndo waingie rwanda lazima gharama zinakua kubwa kuliko wakitumia darport.Hiyo reli wanayopanga kujenga yaweza chukua hata miaka mitano au zaidi kukamilika.Tanzania a.k.a SLEEPING GIANT, Hii ni mbaya sana na inatishia uchumi wa nchi sababu hao jamaa wako kwenye mwendo kasi wa kunufaisha nchi na wananchi wao. Tutakaa hapa kupeana moyo this and that lakini in reality itakuwa imekula kwetu sababu ya lack of vision, lack of strategic leadership, na maneno mengi vitendo sifuri. Mimi na siasa mablimbali ila inanibidi niseme ukweli na kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa hiki kitendo kitakuwa na madhara makubwa sana hapo mbeleni kwa taifa letu. Lakini hatujachelewa kwa viongozi kujirudi nafsi zao na waliokoe taifa hili. Huko tunakoelekea ni kubaya ...............................................
Hakuna madhara yoyote kama unavyotaka kutisha watu hapa. Je, unaweza kufafanua madhara hayo kinagaubaga? Je, vipi faida unazijua au umekariri tu?
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??
Tanzanians are very funny. Anyway I never saw the benefit of EAC untill one M7 gave the following analogy in mindspeak forum. He compared Kenya with China population, China has over a billion people and Kenya less than 40m then, he told us there's no way a Kenyan company can compete with a Chinese company - one has market size of 40m and another of over 1B. But with the EAC together...the companies have a larger mkt share - close to 160m. I saw the point.
He went on to say there's no diff btn the 3 countries that keep competing -KE,UG,TZ we're just 3 pygmies one is fat another is obese another fit, but the bottomline we're pygmies, competing on who's taller. Hii siasa ya divide and rule haitasaidia yeyote. Kama TZ haitaki kuwa kwenye jumuia please feel free to leave.
Hatuna vitambulisho vya uraia, hata wakituingiza humo tutaishia kutumbua macho tu. Hapa Kwetu tupo ki michakato zaidi aka deals, saa ngapi tutakwenda pamoja na watu wenye uchu wa maendeleo kwa nchi zaoNchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
makao makuu ya ea yalistahili kujengwa nairobi au kampala au kigali. Ujenzi hapo arusha i regret to say was a waste of scarse resourses.
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Makao makuu ya EA yalistahili kujengwa Nairobi au Kampala au Kigali. Ujenzi hapo Arusha i regret to say was a waste of scarse resourses.
Hawana hiyo jeuriNchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Utaishia kuwakamata interahamwe wenzako wanaoteka mabasi maporini.
But the selling and buying among 160 million ppl of east African countries has been going on for years, hapa tz tunatumia bidhaa za kenya kuliko za nchi nyingine yoyote, maendeleo tunayoyaona EA today yamechangiwa sana na hii biashara inayoendelea.
Ushirikiano tayari upo unaendelea na utaendelea