Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

Wkenya wametuzidi Kila kitu isipokuwa ardhi na ujinga!!! Tuna ardhi kubwa na ujinga mwingi!!! Ndio maana watu wenye pesa Tz hutibiwa Kenya, watu wenye pesa walisomesha watoto wao Kenya!!
Angalia hata tv station za Kenya halafu linganisha na Tz!! Jamaa wametuacha ukweli mchungu!! Mtanzania hawezi compete na mkenya kwenye usaili wowote ule
 
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Unapigisha mechi saa 2 za usiku alafu utegemee hamasa za mashabiki wanaofikiria kurudi Bunju, Boko, gongo la mboto?
 
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Tanzania mpaka visingeli, double Kiki na wasanii wa ccm?
 
Umeandika ujinga taifa star haijacheza na timu imRa mpaka sasa kenya wako vyema na hawana janja nanuchawa kama wenu
 
Watanzania wengi kupenda kujifananisha ,kuna nn cha ajabu kama sio ushamba ? Hizi ni tabia za kike ,kuokoteza mambo huko kuanza kujifananisha...Yaani ushangiliaji imeshakuwa nongwa ,eti ni mada kabisa🤣🤣
 
Back
Top Bottom