Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

Ni utamaduni
Na sisi hatuna huo utamaduni
Sisi tunashangilia bao, tobo, chenga, kanzu na madoido mengine.

Taifa la wastaharabu hili, ebooo!
Na uwanja haujai timu ya taifa inapocheza wakati Kenya Uganda timu yao ikicheza hata mende hapati nafasi.
 
Wanakula miraa ndio wanaingia uwanjani
 
Maajabu yapo wapi?

Unapojifunza kwa mwingine siyo kwamba unabeba kila kitu chake. Unachukua kile kinachokufaa, vingine unamuachia. Sikudhani kama nilihitaji kukuelekeza hili.
So tujifunze kushangalia ?🤣🤣
 
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Hao simba na yanga wakicheza tu kushangilia hatuwezi sembuse timu ya taifa
 
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Kuandika makala za kusifia mashabiki wa nchi nyingine ni haraka ike kwenda uwanjani kushangilia timu hapana.

Acheni kuwa waropokaji nendeni uwanjani ni ujinga kusifia wengine wakati wewe una fursa ya kufanya hivyo na hufanyi
 
Back
Top Bottom