Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Mkishangilia nyie Maccm na tamisemi inatosha maana timu ni ya mamaKenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Wachaga kusifia wakenya kama wameowaoa vile jana hukuona watu akishangilia au kiboga tuKenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Wewe ni kiazi sisi tumeshaingia makundi unajua hiloKwa Afrika Mashariki hakuna timu nzuri kama Kenya. Tungekuwa kundi la Kenya sijui tungekuwa na hali gani
Watu hadi wapewe Pesa Uchawa na ubwenyenye umetujaa. Kweli unaenda uwanjani kubonya simu na kutongozana badala ya kushangiliaKenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Wew mbuzi mpuuzi utakuwa umeingia kwenye makundi ya ng'ombe.Wewe ni kiazi sisi tumeshaingia makundi unajua hilo
USSR
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Unapigisha mechi saa 2 za usiku alafu utegemee hamasa za mashabiki wanaofikiria kurudi Bunju, Boko, gongo la mboto?Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Tanzania mpaka visingeli, double Kiki na wasanii wa ccm?Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu