Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

Watanzania wengi kupenda kujifananisha ,kuna nn cha ajabu kama sio ushamba ? Hizi ni tabia za kike ,kuokoteza mambo huko kuanza kujifananisha...Yaani ushangiliaji imeshakuwa nongwa ,eti ni mada kabisa🤣🤣
Ndiyo. Taifa la miaka zaidi ya 60, tuna vilabu vinavyotamba ni vikongwe ila tunashindwa kushangilia mpirani. Wakenya ambao tunaambiwa miaka yote na wanasiasa wetu kuwa wanavurugana na hawana umoja wameonyesha wana umoja kutuzidi sisi.
 
Sasa kushangalia ni ishu pia🤣🤣🤣🤣tatizo kupenda lawana si tabia za kiume .
Yaani kila kitu unataka kufanana na wao ,mbona Taifa stars inashinda ila mnakuja vingine kwa lawama za kitoto.

Mtakuja tena ,kenya wana jezi nzuri🤣🤣
 
Wao wanaipenda nchi Yao NI wazalendo, Sisi hatuipendi nchi PAMOJA na viongozi wetu
 
Hakuna anayelalamika, ni tathmini tu imetolewa. Wakenya wameweza kufanya kile ambacho hata Simba na Yanga kimewashinda. Wewe unashangaa sisi "kulalamika" wakati siku hizi hadi viongozi wanalalamika kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo na majukumu yao kuyafix.

Ndiyo, kushangilia ni ishu kubwa sana katika soka. Mshabiki haitwi "mchezaji wa 12" kwa kwenda tu uwanjani na kushangaashangaa bali kwa kushangilia.
 
Yani tuhangaike kuishangilia timu ya CCM? Tutengeneze team ya Taifa ndipo tutaishangilia sio hii.
 
Nani ashabikie timu ya masisiemu watajua wenyewe huko na litimu la mchongo
 
Sasa hauoni kama kuna tatizo ,wao kila siku kujifananisha na watanzania 🤣🤣🤣ishi maisha yako sio kujifananisha
 
Acha kudanganya kwa Afrika Mashariki hakuna timu nzuri kama Kenya wana discipline na team work ya hali ya juu kuliko UG na TZ. Tungekuwa kundi la Kenya sijui tungekuwa na hali gani
Nyie ngedere wa Kenya kwanini mnafuatilia mambo ya nchi yetu? MYOB nyie makenge
 
Sasa hauoni kama kuna tatizo ,wao kila siku kujifananisha na watanzania 🤣🤣🤣ishi maisha yako sio kujifananisha
Hauwezi kupata maendeleo bila kujifananisha na wengine. Ndiyo maana viongozi wanatembelea na kufanya ziara nje ya nchi kujifunza. Mwanzo wa suluhisho la tatizo ni kutambua kuna tatizo. Wewe unataka kutuaminisha hatuna tatizo ili tuendelee kuishi gizani.

Dunia nzima, kuanzia Ulaya hadi kwa Waarabu, wanashangilia muda wote wa mchezo. Wewe ambaye hauna mafanikio yoyote katika soka unataka kutuaminisha hao wote hawako sawa wakati njia yako haijatoa matokeo yoyote chanya kwa zaidi ya miaka 60. Kwa nini tuendelee kukuamini wewe?

Nyie ndiyo mnatuaminisha demokrasia haina maana na ni utamaduni wa nje na tusiuige wakati ni nyie ndiyo mmeupitisha na unatambulika katika katiba na sheria zetu.
 
HIzi ni tabia za kike ,acha kabisa ...Baba yako angekuwa mkenya ,ukazaliwa kenya basi ..Nenda kawalaumu wazazi wako.
 
HIzi ni tabia za kike ,acha kabisa ...Baba yako angekuwa mkenya ,ukazaliwa kenya basi ..Nenda kawalaumu wazazi wako.
Sijui bifu lako na Kenya ni lipi hasa hadi kuona kuwasifia kwa jambo fulani ni "tabia ya kike".

Au unahusika na vile vitendo ambavyo si vya kike wala kiume walivyofanyiwa wale Wakenya?
 
Sijui bifu lako na Kenya ni lipi hasa hadi kuona kuwasifia kwa jambo fulani ni "tabia ya kike".
Sasa unasifia au unajifananisha ,so watanzania wawe wanaiga kwa kenya .?kenya hakuna maajabu labda kama haujawahi kufika ...
 
Sasa unasifia au unajifananisha ,so watanzania wawe wanaiga kwa kenya .?kenya hakuna maajabu labda kama haujawahi kufika ...
Maajabu yapo wapi?

Unapojifunza kwa mwingine siyo kwamba unabeba kila kitu chake. Unachukua kile kinachokufaa, vingine unamuachia. Sikudhani kama nilihitaji kukuelekeza hili.
 
Tanzania hatuna uzalendo na nchi yetu kenya wako serious sana kuhusu taifa lao na bora fainali ichezwe kwao
 
Hamieni Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…