PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
Wakenya wanatuona kama manyani hivi😀😀😀

Wakenya wana dharau sana
 
Tangu enzi za Nyerere wakenya kupitia Rais wao walimwambia Nyerere anaongoza MAITI zinazotembea!.
 
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
CCM kwenye hili wamekuwa wanajizima data, siyo hivyo tu, hiyo tume yenyewe haisikilizi maoni ya wananchi

Swali je tume ambayo haisikiliza maoni ya wananchi inawajibika kwa nani
 
Nadhani wameamua kutuchukulia poa wananchi, wanaona hakuna kitu kikubwa tunachoweza kuwafanya. So, they don care about us,
 
Tena hao Wakenya ndio wanyamaze kabisa yani wao na sisi wala hatuna tofauti hakuna wa kumcheka mwenzie, kama wao walipigwa changa la macho mchana kweupe kwa kuamini kuwa Kikwete alienda kwenye ule Uchaguzi wao kumsaidia Odinga, kumbe mwenzao nyuma ya pazia alikuwa anamsaidia Ruto halafu ndio wajifanye wanazijua sana siasa za Tanzania
 
Wewe hovyo kweli, yaan JK ana power gani kenya mpaka amsaidie mtu ashinde. Aina ya watz kama wewe ndio mnatufanya wote tuonekane hatuna akili na kutukanwa
 
Pole sana kwa bahati mbaya siwezi kuandika kila kitu hapa ila kwa haraka haraka unaonekana mweupe sana kwenye siasa za africa, pengine unaweza ukawa unabisha kitu ambacho wewe hukifahamu ila mimi nakifahamu, na sina namna ya kukithibitisha hivyo sitegemei wewe au mtu mwingine yeyote asiyefahamu anielewe au akubaliane na mimi
 
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
Watanzania wawashangaa wakenya kwa kuuana ,kuchoma mali,kubakana kisa na mambo ya siasa ambayo yanaweza kumalizika bila kuuana. Wajifunze kwenye nchi ya amani
 
CCM kwenye hili wamekuwa wanajizima data, siyo hivyo tu, hiyo tume yenyewe haisikilizi maoni ya wananchi

Swali je tume ambayo haisikiliza maoni ya wananchi inawajibika kwa nani
Hivi kila mwananchi alete maoni na Tume iyafanyie kazi hiyo itakua tume au jalala?
 
Mbona Ruto anateua na 2027 anagombea?

Ulisoma wapi hii, mbona unaongopa, kupata mqenyekiti wa tume huwa ni mchato mrefu sana usiomhusu rais, yaani atakuja hatimaye kupewa jina tu atie Saini, ila mengine yote hayumo.
Hii ilifikia kuwa hivi baada ya Wakenya kupigana wakaheshiniana na kukubaliana iweje
 
Mbona Ruto anateua na 2027 anagombea?
Tofauti iko hapa rais wa Kenya huunda jopo la watu saba kwa ajili ya kuteua Makamishna. Jopo hili huwa na wajumbe wanaoteuliwa na Tume ya Utumishi wa Bunge, Chama cha Wanasheria cha Kenya, na Baraza la Kidini la Vyama vya Ushirikiano wa Kisekta nchini Kenya.
Then jopo la Usaili hutangaza nafasi wazi, linapokea maombi kutoka kwa watu wenye sifa, kuorodhesha (shortlist) walioomba, na kufanya usaili wa wazi.
Then huwapendekeza waliokidhi vigezo and then rais huteua Mwenyekiti mmoja na Makamishna wengine kutoka kwenye orodha iliyopendekezwa na kisha kuwasilisha majina yao bungeni kwa ajili ya kuidhinishwa.

Na vigezo ni virahis
Hatakiwi kuwa mbunge au kiongozi wa umma.
Hatakiwi kuwa kiongoz wa chama cha siasa
Hatakiwi kuwa na uraia wa nchi mbili

Na nyingine ni kwamba lazima awe na degree (hamna bargain hapo)

Je tume ya tz iko hivi?

Inaoitia michujo hii?
 
Hivi kila mwananchi alete maoni na Tume iyafanyie kazi hiyo itakua tume au jalala?
Waandikie kama watakujibu, vile vile tume imevisainisha vyama vya siasa kanuni za maadili wakati wagombea hawajateuliwa, (without nominees), ni sawa na kununua nguo za mtoto atakaye zaliwa wakati ukijua huna mke ama mume
 
Back
Top Bottom