PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
NOREFORMSNOELECTION.
 
Hivi kila mwananchi alete maoni na Tume iyafanyie kazi hiyo itakua tume au jalala?
Ndio maana ya Demokrasia "citizens participation "

Hii Ndio Demokrasia, "freedom of expression and opinion"
 
Tofauti iko hapa rais wa Kenya huunda jopo la watu saba kwa ajili ya kuteua Makamishna. Jopo hili huwa na wajumbe wanaoteuliwa na Tume ya Utumishi wa Bunge, Chama cha Wanasheria cha Kenya, na Baraza la Kidini la Vyama vya Ushirikiano wa Kisekta nchini Kenya.
Then jopo la Usaili hutangaza nafasi wazi, linapokea maombi kutoka kwa watu wenye sifa, kuorodhesha (shortlist) walioomba, na kufanya usaili wa wazi.
Then huwapendekeza waliokidhi vigezo and then rais huteua Mwenyekiti mmoja na Makamishna wengine kutoka kwenye orodha iliyopendekezwa na kisha kuwasilisha majina yao bungeni kwa ajili ya kuidhinishwa.

Na vigezo ni virahis
Hatakiwi kuwa mbunge au kiongozi wa umma.
Hatakiwi kuwa kiongoz wa chama cha siasa
Hatakiwi kuwa na uraia wa nchi mbili

Na nyingine ni kwamba lazima awe na degree (hamna bargain hapo)

Je tume ya tz iko hivi?

Inaoitia michujo hii?
Hawathubutu Mkuu wapigwe asubuhi
 
Tena hao Wakenya ndio wanyamaze kabisa yani wao na sisi wala hatuna tofauti hakuna wa kumcheka mwenzie, kama wao walipigwa changa la macho mchana kweupe kwa kuamini kuwa Kikwete alienda kwenye ule Uchaguzi wao kumsaidia Odinga, kumbe mwenzao nyuma ya pazia alikuwa anamsaidia Ruto halafu ndio wajifanye wanazijua sana siasa za Tanzania
Utaratibu wa upatikanaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya umeainishwa katika Katiba ya Kenya na Sheria ya IEBC ya mwaka 2011 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2024). Tume hii ina jukumu la kusimamia uchaguzi na kura ya maoni nchini. Ifuatayo ni muhtasari wa hatua kuu za mchakato wa uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC:

---

1. Kuteuliwa kwa Jopo la Uteuzi

Rais anateua jopo la watu saba kwa ajili ya uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC. Jopo hili linajumuisha:

Watu wawili wa kiume na wawili wa kike walioteuliwa na Tume ya Huduma za Bunge.

Mtu mmoja aliyeteuliwa na Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK).

Watu wawili walioteuliwa na Baraza la Kidini la Kenya.

Wajumbe wa jopo hili lazima wawe raia wa Kenya, wawe na shahada kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa nchini, na wakidhi mahitaji ya uongozi na uadilifu kama ilivyoainishwa katika Sura ya Sita ya Katiba.

---

2. Mchakato wa Maombi na Usaili

Ndani ya siku saba baada ya kuteuliwa, jopo la uteuzi linatangaza nafasi wazi na kuwaalika waombaji. Majina ya waombaji wote na sifa zao hutangazwa katika Gazeti la Serikali, magazeti mawili ya kitaifa, na tovuti ya Tume ya Huduma za Bunge. Jopo hufanya usaili wa hadhara na kuchagua:

Watu wawili waliostahili kuteuliwa kama Mwenyekiti.

Watu tisa waliostahili kuteuliwa kama Wajumbe wa Tume.

Majina haya huwasilishwa kwa Rais kwa uteuzi zaidi.

---

3. Uteuzi na Uidhinishaji

Rais anachagua jina moja la Mwenyekiti na majina sita ya Wajumbe kutoka kwenye orodha iliyowasilishwa na jopo la uteuzi. Majina haya hupelekwa kwa Bunge la Kitaifa kwa ajili ya kuidhinishwa. Baada ya kuidhinishwa, Rais huchapisha uteuzi huo katika Gazeti la Serikali.

---

4. Muda wa Kazi na Masharti

Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC huteuliwa kwa kipindi kimoja cha miaka sita na hawaruhusiwi kuteuliwa tena.

Wanahudumu kwa muda wote na hawapaswi kuwa wanachama wa chama chochote cha kisiasa.

Uteuzi unazingatia usawa wa kijinsia (asilimia 33 ya jinsia moja) na uwiano wa kikanda.
 
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
Wakulaumu ni Baba wa Taifa na Serikali yake, hao ndio waasisi waliopitisha hiyo Sheria, mama Samia yeye kaikuta sioni kosa lake
 
kosa lake ni kukataa Reforms acha ufwala
 
Ni mwendawazimu pekee anaweza kuhisi kutakuwa na fair election na wakati ni maigizo tupu
 
Utaratibu wa upatikanaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya umeainishwa katika Katiba ya Kenya na Sheria ya IEBC ya mwaka 2011 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2024). Tume hii ina jukumu la kusimamia uchaguzi na kura ya maoni nchini. Ifuatayo ni muhtasari wa hatua kuu za mchakato wa uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC:

---

1. Kuteuliwa kwa Jopo la Uteuzi

Rais anateua jopo la watu saba kwa ajili ya uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC. Jopo hili linajumuisha:

Watu wawili wa kiume na wawili wa kike walioteuliwa na Tume ya Huduma za Bunge.

Mtu mmoja aliyeteuliwa na Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK).

Watu wawili walioteuliwa na Baraza la Kidini la Kenya.

Wajumbe wa jopo hili lazima wawe raia wa Kenya, wawe na shahada kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa nchini, na wakidhi mahitaji ya uongozi na uadilifu kama ilivyoainishwa katika Sura ya Sita ya Katiba.

---

2. Mchakato wa Maombi na Usaili

Ndani ya siku saba baada ya kuteuliwa, jopo la uteuzi linatangaza nafasi wazi na kuwaalika waombaji. Majina ya waombaji wote na sifa zao hutangazwa katika Gazeti la Serikali, magazeti mawili ya kitaifa, na tovuti ya Tume ya Huduma za Bunge. Jopo hufanya usaili wa hadhara na kuchagua:

Watu wawili waliostahili kuteuliwa kama Mwenyekiti.

Watu tisa waliostahili kuteuliwa kama Wajumbe wa Tume.

Majina haya huwasilishwa kwa Rais kwa uteuzi zaidi.

---

3. Uteuzi na Uidhinishaji

Rais anachagua jina moja la Mwenyekiti na majina sita ya Wajumbe kutoka kwenye orodha iliyowasilishwa na jopo la uteuzi. Majina haya hupelekwa kwa Bunge la Kitaifa kwa ajili ya kuidhinishwa. Baada ya kuidhinishwa, Rais huchapisha uteuzi huo katika Gazeti la Serikali.

---

4. Muda wa Kazi na Masharti

Mwenyekiti na Wajumbe wa IEBC huteuliwa kwa kipindi kimoja cha miaka sita na hawaruhusiwi kuteuliwa tena.

Wanahudumu kwa muda wote na hawapaswi kuwa wanachama wa chama chochote cha kisiasa.

Uteuzi unazingatia usawa wa kijinsia (asilimia 33 ya jinsia moja) na uwiano wa kikanda.
Mfumo mzuri sana, sisi watanzania tupo tu kama hatupo.
 
Soon mtaanza kutoa matercle kwa Wakenya manake kila kitu Kenya! Kenya; mxieeeeee! Mkiambiwa tuingie barabarani mnakimbilia Barabara za JF kuja kujidai nanyi wapambanaji kumbe ni keyboard warriors msio na ubavu wa kumgomea hata Afisa Mtendaji Kata, lakini mkishashiba makande mnakuja JF na Instagram kusifia Wanaume wenzenu wa Kenya! Mnadhani hao Wakenya waliyapata hayo kwa kushinda Instagram na Twitter?! Kenya na wenyewe miaka ya karibuni tu hapa walikuwa wanavurunda chaguzi zao kweli kweli hadi raia waliposema kwa vitendo kwamba enough is enough!
 
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo!

We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo?

Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na mahakama vimekuwa chawa wa serikali, ni huzuni!

====

Katika mjadala uliofanywa na kituo cha KTN mwaka 2020, mshiriki mmoja alieleza masikitiko yake kwa kile kinachoendelea katika siasa za Tanzania namna ambavyo mgombea wa Urais kutokea chama tawala ndiye anayechagua makamishna wa uchaguzi.

"Mfano ati leo hii, mgombea wa kiti cha Urais yeye ndiye anatumia makamishna katika tume ya Uchaguzi. Yani wewe ni mchezaji, kiwanja ni chako, refa ni wako, mpira wako halafu unataka tushindane? Mimi nadhani kama Kenya tuliyaacha kitambo na tukatoa hilo suala tukasema hatuwahi rudi tena. Kwahiyo tukisikia haya mambo ambayo yanafanyika huko Tz kwanza tunashangaa sana"

View attachment 3326585
huenda nao ni malofa tu kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini .

kulikoni sasa kila siku wanapiga mayowe na kuropoka kumtaka Rais ruto ateue mwenyekiti wa IEBC? :putinWalk:
 
Tofauti iko hapa rais wa Kenya huunda jopo la watu saba kwa ajili ya kuteua Makamishna. Jopo hili huwa na wajumbe wanaoteuliwa na Tume ya Utumishi wa Bunge, Chama cha Wanasheria cha Kenya, na Baraza la Kidini la Vyama vya Ushirikiano wa Kisekta nchini Kenya.
Then jopo la Usaili hutangaza nafasi wazi, linapokea maombi kutoka kwa watu wenye sifa, kuorodhesha (shortlist) walioomba, na kufanya usaili wa wazi.
Then huwapendekeza waliokidhi vigezo and then rais huteua Mwenyekiti mmoja na Makamishna wengine kutoka kwenye orodha iliyopendekezwa na kisha kuwasilisha majina yao bungeni kwa ajili ya kuidhinishwa.

Na vigezo ni virahis
Hatakiwi kuwa mbunge au kiongozi wa umma.
Hatakiwi kuwa kiongoz wa chama cha siasa
Hatakiwi kuwa na uraia wa nchi mbili

Na nyingine ni kwamba lazima awe na degree (hamna bargain hapo)

Je tume ya tz iko hivi?

Inaoitia michujo hii?
ukiweza kumsifu mkuu tayari sifa unayo kwa kule cuba lakin
 
Back
Top Bottom