Acha uongo. Wakenya wanajitambua, wameitoa KANU madarakani wamesaidiwa na nani. Nimesoma kule naijua kenya na siasa zake kuliko unavyowaza. Kama ni campaign JK hakufanya, na kama wizi wa kura kule sio rahisi kama unavyowaza. JK hana influence yoyote ya kisiasa au kwa wapiga kura wa Kenya. Kwa kifupi waKenya wanatuona sisi mandezi pamoja na viongozi wetu, labda huijui Kenya wewePole sana kwa bahati mbaya siwezi kuandika kila kitu hapa ila kwa haraka haraka unaonekana mweupe sana kwenye siasa za africa, pengine unaweza ukawa unabisha kitu ambacho wewe hukifahamu ila mimi nakifahamu, na sina namna ya kukithibitisha hivyo sitegemei wewe au mtu mwingine yeyote asiyefahamu anielewe au akubaliane na mimi