Kenya: Walimu 3 wa Garrisa wameuawa mapema leo na watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab

Kenya: Walimu 3 wa Garrisa wameuawa mapema leo na watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab

Baada ya wiki jana kuwaua wanafunzi wanne, zamu hii wamegeukia walimu kwa kuwauwa watatu, baada ya kushambulia kituo cha POLISI wa utawala jirani na shule hiyo na POLISI kuamua kutimua mbio na kuwaacha waalimu bila msaada wowote.

R.I.P. teachers, tutakutana Paradiso, hamkua na makosa yoyote, mlikua mnatekekeza majukumu yenu, ila serikali imeshindwa kuwalinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wamesha-shauliwa sana waondoe wanajeshi wao somalia lakini wapi ukaidi. mpaka kura ya maoni ilifanyika na 60+% hawataki kuona wanajeshi wao wakiwa wanaendelea kuwa somalia angalia sasa watu wanavyoumia.
Fuatilia ..mauaji ya all shabaab nchini Kenya yameanza kufanyika hata kabla ya KDF kwenda Somalia..yalipozidi ndio Kenya ikaamua kupeleka wanajeshi nchini Somalia..usitetee magaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uwe unafuatilia ..chanzo cha Kenya kupeleka wanajeshi ni mauaji yaliyokuwa yanafanywa na al shabaab nchini humo..usitetee magaidi si watu wazuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Magaidi ni watu wa hovyo sana,ni wa kupigwa vita dunia nzima.
Screenshot_2020-01-06-12-29-31-1.jpeg

dodge
 
We mwanamke unatia kinyaa yani mwezi mzima unazunguka na hivi vipicha tu!

Chora 7 nikulambishe alamba alolo mtoto mzuri,ni taratiiiibu hautapata maumivu.

dodge
 
Bila shaka serikali ya Kenya inawatoa watu wake kafara,Uhuru anawajibu wa kuondoa majeshi yaje nchini Somalia,yaje yailinde mipaka ya Kenya,siyo utu hata kidogo kuingilia mataifa ya watu kijeshi wakati huo huo watu wako wanaangamia,siyo utu.
Kama serikali ya Kenya haina nauli ya kuwarudisha wanajeshi wai nchini Kenya kutoka Somalia,watuambie,watanzania tupo tayari kuwachangia
Majeshi ya Kenya kubaki Somalia hali ya kuwa usalama wa nchi na watu wao upo hatarini ni hatarini,warudi nyumbani.
 
Hivi Africa nzima tumeshindwa kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Al Shabaab na Boko Haram?
Mbaya zaidi magaidi yanaua watu wetu weusi.
inabidi tusifocus Kwenye kuwaua physically inabidi tuanze kwanza kwa ku'undermine ideology zao za jihad...kwasababu physically hata ukiwaua mia kuna wengine mia watakuwa recruited... Elimu inatakiwa itolewe kwa raia kuhusu uislam ili kuepusha haya...iliniuma sana classmate wangu abdallah form6 alipoacha shule na kwenda kujiunga al shabab wakati alikuwa mtu mpole wa kushinda misikitini na kukesha akisoma Quran.
 
Hivi karate Ni za Nini msikitini? Kwanini wasijifunze yoga ili wawe wapole Kama Buddha?
 
Daah,ila al shabab bwana, hivi wanataka nn hawa mabedui hawa??
 
Bila shaka serikali ya Kenya inawatoa watu wake kafara,Uhuru anawajibu wa kuondoa majeshi yaje nchini Somalia,yaje yailinde mipaka ya Kenya,siyo utu hata kidogo kuingilia mataifa ya watu kijeshi wakati huo huo watu wako wanaangamia,siyo utu.
Kama serikali ya Kenya haina nauli ya kuwarudisha wanajeshi wai nchini Kenya kutoka Somalia,watuambie,watanzania tupo tayari kuwachangia
Majeshi ya Kenya kubaki Somalia hali ya kuwa usalama wa nchi na watu wao upo hatarini ni hatarini,warudi nyumbani.
Km mnataka kutusaidia ingineni kichaka wacheni uoga wenu hku mkisingizia amani..

Ile siku wataamua kuingia kwa nyerere, sijui km wale jamaa wa kuvunja matofali watawaweza, labda wasiojulikana naona labda watawateka na kuwatokomeza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaingia spiritual that's a religion my friend...Sikhs wa kihindi wanakuambia there is no Hinduism without yoga and there is no yoga without Hinduism
Yoga is a group of physical, mental, and spiritual practices or disciplines which originated in ancient India.
 
Back
Top Bottom