Kenya: Walimu 3 wa Garrisa wameuawa mapema leo na watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab

Kenya: Walimu 3 wa Garrisa wameuawa mapema leo na watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab

Ukishaingia spiritual that's a religion my friend...Sikhs wa kihindi wanakuambia there is no Hinduism without yoga and there is no yoga without Hinduism
Spiritual na dini ni vitu viwili tofauti, dini Ni njia au namna ya mwanadamu kumtafuta Mungu.
Spiritual ni neno pana mno, Ni zaidi ya dini. Kila kitu huanzia kwenye spiritual realm na kujidhihirisha mwilini
 
Unaweza kuwa na dini isiwe spiritual?
 
Unaweza kuwa na dini isiwe spiritual?
Spirituality is a solitary experience of the divine, while religion involves a group of people brought together by their common faith or beliefs about the divine. Religion aims to build one's character. It shapes one's beliefs, attitudes, and actions by giving importance to the adherence of rules.
 
Do you do yoga?
 
Yes I attend yoga class at Little Theatre
Spirituality may or may not involve a god but religion emphasises on spiritualism through faith....so religion involves spirituality although spirituality may or may not involve religion.
 
inabidi tusifocus Kwenye kuwaua physically inabidi tuanze kwanza kwa ku'undermine ideology zao za jihad...kwasababu physically hata ukiwaua mia kuna wengine mia watakuwa recruited... Elimu inatakiwa itolewe kwa raia kuhusu uislam ili kuepusha haya...iliniuma sana classmate wangu abdallah form6 alipoacha shule na kwenda kujiunga al shabab wakati alikuwa mtu mpole wa kushinda misikitini na kukesha akisoma Quran.
Aiseee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kuna hukumu rasmi ya kukatwa kichwa huko kwenu hukumu I asema je?
mUUMBA WA MBINGU NA NCHI NDIYE MWENYE MAMALAKA YA KUHUKUMU; HAYO MENGINE YA KUKATA KICHWA CHA USIYEMUUMBA NI USHETWANI SQQUARED
 
Back
Top Bottom