fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Hatumuwezi mmarekani mkuu!Hivi Africa nzima tumeshindwa kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Al Shabaab na Boko Haram?
Mbaya zaidi magaidi yanaua watu wetu weusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatumuwezi mmarekani mkuu!Hivi Africa nzima tumeshindwa kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Al Shabaab na Boko Haram?
Mbaya zaidi magaidi yanaua watu wetu weusi.
Blood sucker hujitengenezea sababu mwenyeweDah hivi nan alimchokoza mwenzie.... Poleni ila
Spiritual na dini ni vitu viwili tofauti, dini Ni njia au namna ya mwanadamu kumtafuta Mungu.Ukishaingia spiritual that's a religion my friend...Sikhs wa kihindi wanakuambia there is no Hinduism without yoga and there is no yoga without Hinduism
SijaelewaBlood sucker hujitengenezea sababu mwenyewe
Unaweza kuwa na dini isiwe spiritual?Spiritual na dini ni vitu viwili tofauti, dini Ni njia au namna ya mwanadamu kumtafuta Mungu.
Spiritual ni neno pana mno, Ni zaidi ya dini. Kila kitu huanzia kwenye spiritual realm na kujidhihirisha mwilini
Spirituality is a solitary experience of the divine, while religion involves a group of people brought together by their common faith or beliefs about the divine. Religion aims to build one's character. It shapes one's beliefs, attitudes, and actions by giving importance to the adherence of rules.Unaweza kuwa na dini isiwe spiritual?
Do you do yoga?Spirituality is a solitary experience of the divine, while religion involves a group of people brought together by their common faith or beliefs about the divine. Religion aims to build one's character. It shapes one's beliefs, attitudes, and actions by giving importance to the adherence of rules.
Yes I attend yoga class at Little TheatreDo you do yoga?
Spirituality may or may not involve a god but religion emphasises on spiritualism through faith....so religion involves spirituality although spirituality may or may not involve religion.Yes I attend yoga class at Little Theatre
NdiyoooooooUnaweza kuwa na dini isiwe spiritual?
Aiseee!inabidi tusifocus Kwenye kuwaua physically inabidi tuanze kwanza kwa ku'undermine ideology zao za jihad...kwasababu physically hata ukiwaua mia kuna wengine mia watakuwa recruited... Elimu inatakiwa itolewe kwa raia kuhusu uislam ili kuepusha haya...iliniuma sana classmate wangu abdallah form6 alipoacha shule na kwenda kujiunga al shabab wakati alikuwa mtu mpole wa kushinda misikitini na kukesha akisoma Quran.
Siku watapoacha wakiristo kuoana wanaume kwa wanaume
Ndiyooooooo
Siku watapoacha wakiristo kuoana wanaume kwa wanaume
Yes ni kweli wapo na hata wakristo wapo pia
mUUMBA WA MBINGU NA NCHI NDIYE MWENYE MAMALAKA YA KUHUKUMU; HAYO MENGINE YA KUKATA KICHWA CHA USIYEMUUMBA NI USHETWANI SQQUAREDHuku kuna hukumu rasmi ya kukatwa kichwa huko kwenu hukumu I asema je?