... dini yao Mkuu! Wewe ni mgeni kwamba hujui magaidi wanatetea dini yao na wamekaa kidini zaidi?Wewe #DUDUS kweli jina la ududu unaliwakilisha vema, magaidi unawaita watetezi wa dini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usipotoshe..civilians wanaouliwa na US forces kule Syria wana huruma
Mkuu uwe unafuatilia ..chanzo cha Kenya kupeleka wanajeshi ni mauaji yaliyokuwa yanafanywa na al shabaab nchini humo..usitetee magaidi si watu wazuri!eti wakenya wenzao na wakati KDF ime deploy forces kukabiliana na Al-Shabab uko Somalia
kiufupi hawa wanamgambo hawaitaki KDF iwe uko,
Fuatilia ..mauaji ya all shabaab nchini Kenya yameanza kufanyika hata kabla ya KDF kwenda Somalia..yalipozidi ndio Kenya ikaamua kupeleka wanajeshi nchini Somalia..usitetee magaidi.Kenya wamesha-shauliwa sana waondoe wanajeshi wao somalia lakini wapi ukaidi. mpaka kura ya maoni ilifanyika na 60+% hawataki kuona wanajeshi wao wakiwa wanaendelea kuwa somalia angalia sasa watu wanavyoumia.
Magaidi ni watu wa hovyo sana,ni wa kupigwa vita dunia nzima.Mkuu uwe unafuatilia ..chanzo cha Kenya kupeleka wanajeshi ni mauaji yaliyokuwa yanafanywa na al shabaab nchini humo..usitetee magaidi si watu wazuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwanamke unatia kinyaa yani mwezi mzima unazunguka na hivi vipicha tu!
A mistake doesn't make another mistake rightcivilians wanaouliwa na US forces kule Syria wana huruma
We mwanamke unatia kinyaa yani mwezi mzima unazunguka na hivi vipicha tu!
inabidi tusifocus Kwenye kuwaua physically inabidi tuanze kwanza kwa ku'undermine ideology zao za jihad...kwasababu physically hata ukiwaua mia kuna wengine mia watakuwa recruited... Elimu inatakiwa itolewe kwa raia kuhusu uislam ili kuepusha haya...iliniuma sana classmate wangu abdallah form6 alipoacha shule na kwenda kujiunga al shabab wakati alikuwa mtu mpole wa kushinda misikitini na kukesha akisoma Quran.Hivi Africa nzima tumeshindwa kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Al Shabaab na Boko Haram?
Mbaya zaidi magaidi yanaua watu wetu weusi.
Hivi karate Ni za Nini msikitini? Kwanini wasijifunze yoga ili wawe wapole Kama Buddha?inabidi tusifocus Kwenye kuwaua physically inabidi tuanze kwanza kwa ku'undermine ideology zao za jihad...kwasababu physically hata ukiwaua mia kuna wengine mia watakuwa recruited... Elimu inatakiwa itolewe kwa raia kuhusu uislam ili kuepusha haya...iliniuma sana classmate wangu abdallah form6 alipoacha shule na kwenda kujiunga al shabab wakati alikuwa mtu mpole wa kushinda misikitini na kukesha akisoma Quran.
Yoga ni dini nyingine sasa hyo mzee...hinduismHivi karate Ni za Nini msikitini? Kwanini wasijifunze yoga ili wawe wapole Kama Buddha?
Yoga ni dini nyingine sasa hyo mzee...hinduism
Watanzania umewasahauShababi hawaui adui wanaua ndugu zao..vijana wa Kenya wanapelekwa Somalia kufunzwa, wanarudi kuua Wakenya wenzao!!
Kundi hilohilo.....
Km mnataka kutusaidia ingineni kichaka wacheni uoga wenu hku mkisingizia amani..Bila shaka serikali ya Kenya inawatoa watu wake kafara,Uhuru anawajibu wa kuondoa majeshi yaje nchini Somalia,yaje yailinde mipaka ya Kenya,siyo utu hata kidogo kuingilia mataifa ya watu kijeshi wakati huo huo watu wako wanaangamia,siyo utu.
Kama serikali ya Kenya haina nauli ya kuwarudisha wanajeshi wai nchini Kenya kutoka Somalia,watuambie,watanzania tupo tayari kuwachangia
Majeshi ya Kenya kubaki Somalia hali ya kuwa usalama wa nchi na watu wao upo hatarini ni hatarini,warudi nyumbani.
Yoga is a group of physical, mental, and spiritual practices or disciplines which originated in ancient India.