Kenya wameingiza Embroy ya Girolando(Gir) Dairy cow kutoka Brazili.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,544
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
IMG_20250327_071250.jpg

Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
IMG_20250327_071215.jpg

Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
 
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555

Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556

Hi breed kuna mmoja alishavunja world record kwa kukamuliwa lita 127 kwa siku yaani ndoo sita za lita 20 na kidogo ,

Mtu akiweza kuwaagiza ndama wengi akaja kuuza kama mbegu atapata hela sana ,
 
KWA WAFUGAJI WA SAMAKI TILAPIA NA KAMBALE TUNA UZA FISH PELLETS AND GRAINS VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO VYOTE KWA SAMAKI WAKO....

TUNA VYAKULA KUANZIA POWDER, 0.5 -6mm

PIA TUNA VYAKULA VYA NGURUWE NA KUKU VYOTE NI KOUDIJS KUTOKA NETHERLANDS... BILA KUSAHAU CREEP FEED KWA AJILI YA WATOTO WA NGURUWE

FIKA DUKANI KWETU KIGAMBONI MACHAVA BARABARA YA KWENDA KANISA KATOLIKI, TUPO OPPOSITE NA KAMBI YA JESHI YA WANAMAJI,

TUPIGIE SIMU NO 0714128565
 
Wizara ya kilimo ilipaswa iagize tech mpya zinazopatikana huko nje ili kuboresha kilimo/ufugaji nchini, mfugaji mmoja mmoja kuagiza breed kama hiyo kutoka brazil itakuwa ngumu sana.

Bado tuko na breed nzuri sana za Ng'ombe hapa kwetu.

Shida kubwa hatuna Elimu ya ulishaji na Utunzaji sahihi.

Wafugaji wengi wako lazi kwenda kenya kuchujya ng'ombe kwa 7mil akiambiwa anatoa kitre 40, lakini haulizi wanamrisha mnini huyo ng'ombe, anakuja kumleta huku anaishia kumoa ltres 14 kwa mkamuo.
 
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555

Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556

Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Mbona Uganda wanayo siku nyingi?
Hawa ni chaguo langu la kwanza Toka nilivyowaona Uganda via u tube.
 
Ufugaji/kilimo haviko ktk kipaumbele cha viongozi wa Nchi yetu, Kenya wametupita mbalisa ktk swala la Mifugo yote hata masoko na uandaaji wa mazao ya shambani kwaajili ya masoko ya shambani ni tofauti sana na sisi. tungojee wakisha wa cross wakawa nnje ya ubora walio kuja nao ndio na sisi tutapata Mbegu. Inaumiza sana ukienda hata ktk hizi taasisi za kuhimilisha Mbegu za mifugi ni kitu cha ajabu sana unakutana nacho huko.
 
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555

Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556

Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Hata kwa Tanzania kwa sasa hivi embryo za aina zote za ng'ombe wa maziwa zinapatikana ikiwemo na hawa grilando . embryo moja ni million moja hadi million na laki mbili
 
..kwa Tanzania wapi unaweza kupata embryo za ng'ombe wa kisasa?
 
Bado tuko na breed nzuri sana za Ng'ombe hapa kwetu.

Shida kubwa hatuna Elimu ya ulishaji na Utunzaji sahihi.

Wafugaji wengi wako lazi kwenda kenya kuchujya ng'ombe kwa 7mil akiambiwa anatoa kitre 40, lakini haulizi wanamrisha mnini huyo ng'ombe, anakuja kumleta huku anaishia kumoa ltres 14 kwa mkamuo.
Mkuu gharama za Usafiri ni kubwa hapa Nchini, Yes anatoa Litre 40 kwa siku KW abei ya 2000 kwa litre Maana yake 80,000, lakini cha ajabu gharama za kumtunza huyo Ng'ombe kama inavyotakiwa utakuta ni Laki moja Kwa siku🤣🤣
 
Back
Top Bottom