Kuna mdau humu aliwataja na kutoa namba za simu kuwa wapo Tanga na Arusha!Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555
Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556
Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Kuna mdau humu aliwataja na kutoa namba za simu kuwa wapo Tanga na Arusha!
www.instagram.com
jaribu SUA miaka ya nyuma nilihudhuria nane nane dodoma walikuwa na sperm bank kubwa WANASEMA WANAHIFADI HATA KWA MIAKA HAMSINI, wana hata za nyati na ngombe mbalimbali duniani, kuna mzee yupo iringa alikuja na ng'ombe watano ni wakubwa haswa kuliko hata hiyo picha na mbegu alichukua kwao...kwa Tanzania wapi unaweza kupata embryo za ng'ombe wa kisasa?
Hili swala lilipaswa kufanywa na serikali kupitia wizara ya kilimo, hao wakenya wananipa mashaka maana kiwango wanachotoa hakilingani na kiwango wanachotoa mbuzi wa brazilHi breed kuna mmoja alishavunja world record kwa kukamuliwa lita 127 kwa siku yaani ndoo sita za lita 20 na kidogo ,
Mtu akiweza kuwaagiza ndama wengi akaja kuuza kama mbegu atapata hela sana ,
Nilibahatika kuona ng'ombe wawili aliopewa zawadi Mw. Nyerere na chuo cha Sua.jaribu SUA miaka ya nyuma nilihudhuria nane nane dodoma walikuwa na sperm bank kubwa WANASEMA WANAHIFADI HATA KWA MIAKA HAMSINI, wana hata za nyati na ngombe mbalimbali duniani, kuna mzee yupo iringa alikuja na ng'ombe watano ni wakubwa haswa kuliko hata hiyo picha na mbegu alichukua kwao.
Yes I’mAre okay ma'am..!!?