CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
Hayo matank yao ya maziwa hukamuliwa Lita ngapi Kwa siku
Ni makubwa sana, hivi wanatembeaje sasa?Hayo matank yao ya maziwa hukamuliwa Lita ngapi Kwa siku
Chakula gani?40 litres
Lakini hawalishi nyasi wanalisha chakula
Hi breed kuna mmoja alishavunja world record kwa kukamuliwa lita 127 kwa siku yaani ndoo sita za lita 20 na kidogo ,Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555
Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556
Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Wizara ya kilimo ilipaswa iagize tech mpya zinazopatikana huko nje ili kuboresha kilimo/ufugaji nchini, mfugaji mmoja mmoja kuagiza breed kama hiyo kutoka brazil itakuwa ngumu sana.
Mbona Uganda wanayo siku nyingi?Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555
Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556
Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Hata kwa Tanzania kwa sasa hivi embryo za aina zote za ng'ombe wa maziwa zinapatikana ikiwemo na hawa grilando . embryo moja ni million moja hadi million na laki mbiliGirolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
View attachment 3284555
Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa kuhitaji kufungiwa ndani.
View attachment 3284556
Huko Bongo nini kinashindikana kuwa na hawa Ng'ombe wa Girolando? Hawa wangeweza mudu mazinhira ya Tanzania kabisa.
Hata kwa Tanzania kwa sasa hivi embryo za aina zote za ng'ombe wa maziwa zinapatikana ikiwemo na hawa grilando . embryo moja ni million moja hadi million na laki mbili
Mkuu gharama za Usafiri ni kubwa hapa Nchini, Yes anatoa Litre 40 kwa siku KW abei ya 2000 kwa litre Maana yake 80,000, lakini cha ajabu gharama za kumtunza huyo Ng'ombe kama inavyotakiwa utakuta ni Laki moja Kwa siku🤣🤣Bado tuko na breed nzuri sana za Ng'ombe hapa kwetu.
Shida kubwa hatuna Elimu ya ulishaji na Utunzaji sahihi.
Wafugaji wengi wako lazi kwenda kenya kuchujya ng'ombe kwa 7mil akiambiwa anatoa kitre 40, lakini haulizi wanamrisha mnini huyo ng'ombe, anakuja kumleta huku anaishia kumoa ltres 14 kwa mkamuo.