johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva.
Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu?
Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona na kwamba wamerudishwa Tanzania.
Sasa hiyo idadi kwa mujibu wa takwimu za WHO itasomeka kuwa ni maambukizi ya Corona nchini Kenya au Tanzania?
Maendeleo hayana vyama!