Inabidi wapimwe tena Tanzania kutuhakikishia kama wanayo, na mashine hazina itilafu. Ila mjue Kenya sio rafiki yetu, ni wanafiki tu, hata kwenye vita vya Idi Amin walikimbia na kutuachia, hawapendi maendeleo yetu kwa sababu ni kipimo cha maendeleo yao, kwa ujinga wao kutuzidi sisi ndiyo maendeleo yao.
Wanajua ya kwetu kuliko ya kwao, wanafuatilia siasa zetu kuliko za kwao wakati siye hata majina ya viongozi wao hatuyajui wala hatuna haja ya kuyajua wala kumjua Rais wao wala kumfuatilia. Kwa kifupi wakenya wanawashwa matako bila kuifuatilia TZ.