Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva.

Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu?

Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona na kwamba wamerudishwa Tanzania.
Sasa hiyo idadi kwa mujibu wa takwimu za WHO itasomeka kuwa ni maambukizi ya Corona nchini Kenya au Tanzania?

Maendeleo hayana vyama!
Jibu ni rahisi Wanatumia vipimo vyao na wamepimwa Kenya
 
Na hii ina maana gani?

Mnapeleka korona Kenya,Kenya kawarudisha,unatoa dua la kuku hapa!

Dua zako za kuku hazisaidii lolote!

Kama ni GDP ya Kenya imeizunguka TZ twice!

Go learn how kujenga uchumi,baada ya hapo ndio uongee mataputapu hayo!
huu uchumi twice unaouzungumzia ndio huu wa $99bln??no wonder tunawaza nani wa kampelekea mwenzie corona badala ya kuwaza lililo zito between us[emoji28][emoji28][emoji28].

unafahamu kenya ina maambukizi mangapi mpaka sasa!!!bila shaka kuna madereva wametumwa wakaisambaze makusudi huko,si unajua wametuzidi twice uchumi[emoji1787][emoji1787],yaani mzee you think big but crip.
 
Kenya ni $99Bilion....Tanzania unajua ni ngapi?

Go check and you will be shocked

Maambukizi ya Kenya madogo compared na yetu maana ya kwetu hatutangazi kabisa!

Kenya inakaribia 1,000 na wanapima kila siku na wapo serious

Wajuvi na wanaokisia wanasema Tanzania ni zaidi ya 12,000 as we speak!

Ndio imefanya serikali yako ya ajabu kusimama kufanya lolote sababu ni incompetent on anything!

Brother,”crip” ni nini kwa muktadha wa sentensi uliyotoa hapo juu?
 
tanzania naijua vizuri tu.na wala hainishtui sababu hata wakenya wenyewe wanalia njaa zaidi yangu.labda ungesema wewe $99bln,zimewasaidia nini.

kenya wamewekeza katika kupima na kujua idadi,yes labda ndio malengo yao wafikishe wagonjwa 10k kisha waanze kuongoza africa,kila kitu ni mashindano inategemea unakichukuliaje.

hawa wajuvi wanaokisia wagonjwa 12000 as we speak,lakini wanasema tuna karantini ngapi,zinachukua watu wangapi??maana watu elfu moja tu sidhani kama wanatosha hiyo karantini iliyoandaliwa.au wagonjwa wamelazwa majumbani mwao!!!!!kama wanatembea ni wagonjwa hao,au wanaitwa wagonjwa!!!

brother hiyo crip ni itafsiri kama ilivyo.au nawewe unaweza weka neno jingine lolote lisiloeleweka hapo.
 
Kenya wanalia njaa,Tanzania hawalii njaa?

Really?

Takwimu za njaa unazo?Au nikutokana na “utafiti wako binafsi”?

Fact is Kenya’s official GDP imeizunguka TZ official GDP!

Numbers do not lie!

Plus Kenya’s democracy is more vibrant zaidi ya hii tyranny huku Bongo!

Case closed!

Vitu vingine unavyoongea kuhusu korona ni theories kutaka ku justify incompetencies za serikali hii hovyo!

Goodluck with that!
 
Maendeleo hayana vyama!
Kwa wakenya hata wakikuta hakuna mwenye corona watasema yupo
Sikushangaa juzi waliposema wamepima watu 25,23 kutoka Tanzania wanao,uganda mmoja ,Rwanda mmoja
Yaani kenya anajaribu kutuhujumu kwa kuongeza namba,Mungu yu pamoja nasi
 
Back
Top Bottom