Kenya wamewezaje kuwa na giants kuliko mataifa yote Afrika Mashariki!?

Nchi nyingime kama Tanzania zina idadi kubwa ya Raia wasiojitambua, issue ya kifala kama kesi ya Mbowe ilitosha kuwafanya maccm waache mambo ya kingese lakini mi wananchi ilivyo lala.

Mkuu umefeli sana. Tz. Tuko vizuri sana kama wananchi. Tunajitambua ndo mana unatuona maisha. Bata. Zinaendelea. Tunajua aina ya watu wajinga na wapumbavu kama wewe na malengo yenu. Unawaza siasa hata katika mambo yako ya msingi. Kenya wana maisha Yao. Ila ukabila ndo unajenga Siasa zao na maelekeo yao. So Mtoa hoja hana kazi na wewe ndo umeingia mkenge directly. Unajua kwa Nini. Unaumwaaaaa. Na ugonjwa wako Ni wa kupandikizwa. Huna akili yako. Unawaza CCM tu.
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?

Bosi unapoanza kuandika uzi wako unawaza kichwa cha habari au content.
 
Mkuu umefeli sana. Tz. Tuko vizuri sana kama wananchi. Tunajitambua ndo mana unatuona maisha. Bata. Zinaendelea. Tunajua aina ya watu wajinga na wapumbavu kama wewe na malengo yenu. Unawaza siasa hata katika mambo yako ya msingi. Kenya wana maisha Yao. Ila ukabila ndo unajenga Siasa zao na maelekeo yao. So Mtoa hoja hana kazi na wewe ndo umeingia mkenge directly. Unajua kwa Nini. Unaumwaaaaa. Na ugonjwa wako Ni wa kupandikizwa. Huna akili yako. Unawaza CCM tu.
Uncle umeandika ulodilodi
 
Back
Top Bottom