Kenya wamewezaje kuwa na giants kuliko mataifa yote Afrika Mashariki!?

Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
Siasa za kenya ziko huru kule mpinzani si adui, mpinzani ni partner wa maendeleo, lakini hatua hiyo waliyofikia wakenya walipigania hiyo hali sio kukaa na kungojea kununuliwa na watawala na kupewa uwaziri, ukuu wa mkoa no.
 
Ninyi hamna ukabila .... mbona hamjaendelea? Rwanda kuna ukabila, the same as Kenya wapo wapi Wanyarwanda? Sisi tuna kila kitu, amani, hakuna ukabila, abundant natural resources... fertile land, rivers, lakes, minerals, milima mikubwa, wanyama pori, gesi asilia, madini mbali mbali , ukanda mrefu wa pwani, nchi kubwa yenye kanda mbali mbali zinazofaa kwa mazao mengi mfano .. kahawa, chai, kokoa, mkonge, pyrethrum, mahindi, mpunga, maharagwe, viazi, ndizi, .....kila kitu!!! Tupo wapi ni zao gani tunalo-export duniani na tunajulikana kwalo
Naona ushaanzisha mada nyingine ndani ya mada. Nini kinawafanya Wanasiasa wa Kenya kuwa na nguvu sana kuliko wa huku?!
 
Umetoa
Ninyi hamna ukabila .... mbona hamjaendelea? Rwanda kuna ukabila, the same as Kenya wapo wapi Wanyarwanda? Sisi tuna kila kitu, amani, hakuna ukabila, abundant natural resources... fertile land, rivers, lakes, minerals, milima mikubwa, wanyama pori, gesi asilia, madini mbali mbali , ukanda mrefu wa pwani, nchi kubwa yenye kanda mbali mbali zinazofaa kwa mazao mengi mfano .. kahawa, chai, kokoa, mkonge, pyrethrum, mahindi, mpunga, maharagwe, viazi, ndizi, .....kila kitu!!! Tupo wapi ni zao gani tunalo-export duniani na tunajulikana kwalo
mfano halisi Burundi, Uganda na Rwanda zina ukabila wa kiwango cha juu tena kuliko Kenya je wamepiga hatua gani kama siyo kuumizana kila kukicha,kumbuka hata hayati Magufuli alipendelea siasa za nchi hizo tatu je nini kilitokea/kimetokea kama si uadui wa kiasa nchini Tanzania??
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
Mwaka fulani nilikua Kenya, mmoja wa rafiki zangu alikua mwanafunzi wa UoN. Wakati huo nimefika nilifikia hostel anapoishi na ilikua kipindi cha uchaguzi UoN, nilichojifunza wenzetu ukanila upo damuni imagine mgombea wa kabila fulani anaungana na kikundi fulani ili kupata kuungwa mkono na kabila hilo
Mf: kwetu ili kupata ufuasi mgombea A kama yupo shule mfano shule ya utawala anaangalia atafute shule gani ambapo atapata makamu wake ili apate ufuasi wa shule hiyo sasa wakati sisi tunafikiri hilo upande wa pili mkikuyu anatafuta kalenjini ili apate ufuasi wa kalenjini over luo😂😂
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
Ni katiba
 
Raia tuangaike nini sasa na mambo yenu ya kisiasa hayo? maana ndio tunavyoona hivyo kwamba ni issue zenu za kisiasa tu mtamalizana wenyewe. Leo na kesho kutwa unaweza kukuta Mbowe yupo ccm kama ambavyo wengine walivyofanya ambao hatukutegemea, sasa si bora tu tuendelee kutojitambua tu.

Huu mchezo haujitaji hasira.
Siasa ni maisha
 
Umetoa

mfano halisi Burundi, Uganda na Rwanda zina ukabila wa kiwango cha juu tena kuliko Kenya je wamepiga hatua gani kama siyo kuumizana kila kukicha,kumbuka hata hayati Magufuli alipendelea siasa za nchi hizo tatu je nini kilitokea/kimetokea kama si uadui wa kiasa nchini Tanzania??
Hebu nitajie makabila hata matatu ambayo yapo Rwanda au Burundi!
 
Viongozi ni reflection ya wanaowachagua au kuwatengeneza! Sasa Mbunge mwenye upeo kama wa Lusinde( Kibajaji) au Musukuma anaweza kuchaguliwa kwenye jimbo/constituency ipi pale Kenya.
Hicho ni kielelezo kuwa Wananchi wetu ambao wengi wao ndo huchagua viongozi wana maarifa duni saaana!
 
Wengi uliowaorodhesha hapo wanategemea maeneo yenye makabila yao km ngome yao kuu

Ni kweli jamaa hao ma giant ni mfano wa paramount chiefs wa makabila mbalimbali kugombania kuchukua mamlaka ya nchi, hawana ideology wala ahadi za chama.
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
Mkuu, nilidhani una jambo la maana kumbe ni hizi za kusadikika?

Huelewi siasa za Kenya, halafu unakuja hapa kusifia jambo usilolijua kabisa.

Hao uliowataja hapo ni 'giants'? wa kitu gani!
Wa makabila yao? Umeona Mudavadi anatikisa sana Mombasa, au Machakos, ama Turkana?

Kalonzo umemsikia wapi kama siyo kwenye eneo lake la Ukambani? Ukimpeleka Siaya, au Migori kuna raia wangapi wanaomfahamu, acha kumshabikia?

Akheri kidogo ya huyo 'Hustler', Ruto. Lakini hata yeye ukiondoa Rift Valley haendi popote. Huo ndio ujayanti unaousherehekea?
 
Ujamaa uchwara na siasa za chama kimoja kwa muda mrefu zimetufanya vibaya sana.
Visingizio visivyo na maana kabisa. Sijui kwa nini huchoki kuvitumia kama mfano wa Tanzania kuwa ilivyo sasa.
 
Ujamaa ni mfumo ambao hauruhusu sana mawazo mbadala, hilo ni tatizo ambalo halijawahi kuondoka katika tawala za nchi hii, mawazo mbadala yamekuwa yakipigwa rungu na kujifia na tumeendelea kubaki na watu wenye maono finyu na yasiyo mapana.

Asilimia 80 ya watu waliohojiwa na Tume ya Nyalali kuhusu kuingia katika mfumo vyama vingi waliukataa wakiamini tulipaswa kuendelea na chama kimoja! Hii ilikuwa ni hangover ya chama kimoja ambayo bado imetung'ang'ania mpaka leo.

Haya nimeyasikia muda mrefu sana, siyo mageni. Ni sababu tu za kutafuta vsingizio.
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
ni mabepari
 
Back
Top Bottom