WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Safi sana.1. Good education system
2. Exposure
3. Generational wealth
4. Seriousness in all undertaking- farming, manufacturing, sports etc
5. Existence of multinationals.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana.1. Good education system
2. Exposure
3. Generational wealth
4. Seriousness in all undertaking- farming, manufacturing, sports etc
5. Existence of multinationals.
Siasa za kenya ziko huru kule mpinzani si adui, mpinzani ni partner wa maendeleo, lakini hatua hiyo waliyofikia wakenya walipigania hiyo hali sio kukaa na kungojea kununuliwa na watawala na kupewa uwaziri, ukuu wa mkoa no.Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.
Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.
Nini kinasababisha!?
Naona ushaanzisha mada nyingine ndani ya mada. Nini kinawafanya Wanasiasa wa Kenya kuwa na nguvu sana kuliko wa huku?!Ninyi hamna ukabila .... mbona hamjaendelea? Rwanda kuna ukabila, the same as Kenya wapo wapi Wanyarwanda? Sisi tuna kila kitu, amani, hakuna ukabila, abundant natural resources... fertile land, rivers, lakes, minerals, milima mikubwa, wanyama pori, gesi asilia, madini mbali mbali , ukanda mrefu wa pwani, nchi kubwa yenye kanda mbali mbali zinazofaa kwa mazao mengi mfano .. kahawa, chai, kokoa, mkonge, pyrethrum, mahindi, mpunga, maharagwe, viazi, ndizi, .....kila kitu!!! Tupo wapi ni zao gani tunalo-export duniani na tunajulikana kwalo
mfano halisi Burundi, Uganda na Rwanda zina ukabila wa kiwango cha juu tena kuliko Kenya je wamepiga hatua gani kama siyo kuumizana kila kukicha,kumbuka hata hayati Magufuli alipendelea siasa za nchi hizo tatu je nini kilitokea/kimetokea kama si uadui wa kiasa nchini Tanzania??Ninyi hamna ukabila .... mbona hamjaendelea? Rwanda kuna ukabila, the same as Kenya wapo wapi Wanyarwanda? Sisi tuna kila kitu, amani, hakuna ukabila, abundant natural resources... fertile land, rivers, lakes, minerals, milima mikubwa, wanyama pori, gesi asilia, madini mbali mbali , ukanda mrefu wa pwani, nchi kubwa yenye kanda mbali mbali zinazofaa kwa mazao mengi mfano .. kahawa, chai, kokoa, mkonge, pyrethrum, mahindi, mpunga, maharagwe, viazi, ndizi, .....kila kitu!!! Tupo wapi ni zao gani tunalo-export duniani na tunajulikana kwalo
Mwaka fulani nilikua Kenya, mmoja wa rafiki zangu alikua mwanafunzi wa UoN. Wakati huo nimefika nilifikia hostel anapoishi na ilikua kipindi cha uchaguzi UoN, nilichojifunza wenzetu ukanila upo damuni imagine mgombea wa kabila fulani anaungana na kikundi fulani ili kupata kuungwa mkono na kabila hiloKiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.
Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.
Nini kinasababisha!?
Kabila wanalotegemea CCM ni wizi wa kura, mapolisi, usalama na kupiga na kubambikiza kesi za kipuuziWengi uliowaorodhesha hapo wanategemea maeneo yenye makabila yao km ngome yao kuu
Hizi ni ngome za odinga.Wengi uliowaorodhesha hapo wanategemea maeneo yenye makabila yao km ngome yao kuu
Ni katibaKiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.
Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.
Nini kinasababisha!?
Siasa ni maishaRaia tuangaike nini sasa na mambo yenu ya kisiasa hayo? maana ndio tunavyoona hivyo kwamba ni issue zenu za kisiasa tu mtamalizana wenyewe. Leo na kesho kutwa unaweza kukuta Mbowe yupo ccm kama ambavyo wengine walivyofanya ambao hatukutegemea, sasa si bora tu tuendelee kutojitambua tu.
Huu mchezo haujitaji hasira.
Hebu nitajie makabila hata matatu ambayo yapo Rwanda au Burundi!Umetoa
mfano halisi Burundi, Uganda na Rwanda zina ukabila wa kiwango cha juu tena kuliko Kenya je wamepiga hatua gani kama siyo kuumizana kila kukicha,kumbuka hata hayati Magufuli alipendelea siasa za nchi hizo tatu je nini kilitokea/kimetokea kama si uadui wa kiasa nchini Tanzania??
Na kuna maisha ya siasa.Siasa ni maisha
Wahutu,Watutsi,wankurunziza na wakagame.Hebu nitajie makabila hata matatu ambayo yapo Rwanda au Burundi!
Wengi uliowaorodhesha hapo wanategemea maeneo yenye makabila yao km ngome yao kuu
Mkuu, nilidhani una jambo la maana kumbe ni hizi za kusadikika?Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.
Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.
Nini kinasababisha!?
Visingizio visivyo na maana kabisa. Sijui kwa nini huchoki kuvitumia kama mfano wa Tanzania kuwa ilivyo sasa.Ujamaa uchwara na siasa za chama kimoja kwa muda mrefu zimetufanya vibaya sana.
Visingizio visivyo na maana kabisa. Sijui kwa nini huchoki kuvitumia kama mfano wa Tanzania kuwa ilivyo sasa.
Haya nimeyasikia muda mrefu sana, siyo mageni. Ni sababu tu za kutafuta vsingizio.Ujamaa ni mfumo ambao hauruhusu sana mawazo mbadala, hilo ni tatizo ambalo halijawahi kuondoka katika tawala za nchi hii, mawazo mbadala yamekuwa yakipigwa rungu na kujifia na tumeendelea kubaki na watu wenye maono finyu na yasiyo mapana.
Asilimia 80 ya watu waliohojiwa na Tume ya Nyalali kuhusu kuingia katika mfumo vyama vingi waliukataa wakiamini tulipaswa kuendelea na chama kimoja! Hii ilikuwa ni hangover ya chama kimoja ambayo bado imetung'ang'ania mpaka leo.
ni mabepariKiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.
Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.
Nini kinasababisha!?