Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

Kwan we unaamin hakuna kifo? Au mpaka kiwe kifo kitokeaje mpaka kiwe halali au kwa mipango ya mungu?. Au unaweza kuzuia kifo cha mzazi wako mpendwa mwenzetu kwa njia yeyote ile?
 
Barakoa na maji tiririka ni muhimu jamani.
Huko ulaya wenye viwanda vya barakoa wanakufa wangapi kwa cku? Kufa lazima ufe kwa sababu yeyote ile . Kila nafsi itaonja mauti na haijalishi kwa mda gani na sababu gani sasa Kama unapinga hili bc itakua unejiumba mwenyewe
 
Huko ulaya wenye viwanda vya barakoa wanakufa wangapi kwa cku? Kufa lazima ufe kwa sababu yeyote ile . Kila nafsi itaonja mauti na haijalishi kwa mda gani na sababu gani sasa Kama unapinga hili bc itakua unejiumba mwenyewe

Duh!! Jamaa una nguvu kweli, balaa la king'ang'anizi.
 
Angalia unafiki wao!
 
Basi na media zetu zifanye kitu tofauti. Zipige propaganda na kuonyesha vitu positive tu badala ya kupiga nyimbo za kuabudu tuuu

Hakuna haja ya kulialia na hao KTN maana hatuna uwezo wa kuwapangia nini waonyeshe
 
Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
Hebu mkumbukeni kwa mazuri aliyofanya
 
Ugonjwa mpya ulioingia na ambao kwa bahati mbaya hata wasomi wanauamini ni kuwa kila kifo kinachotokea sasa ni COVID19, kana kwamba magonjwa mengine hayapo, kana kwamba mwanadamu hatakufa kama hakuna magonjwa.

Vv
 
Hawa wangetakiwa watoe ripoti kama serekali ilivyosema kupitia kwa VP hayo ya corona waachie raia na viblog uchwara...
 
Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19
Kwa hiyo unataka waseme UONGO kama Media za Tz?!!!

Majuzi umma ulitangaziwa kuwa jiwe ni mzima wa afya, yupo bize ofisini anachapa kazi kama kawaida, kumbe UONGO mtupu
 
Ifungieni KTN au subiri na wa kwao afe na sisi tubeze
 
Nonsense
 
Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.

wapo sahihi, nawaunga mkono. ulitaka wafanye kama mataga?.bwege wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…