Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Nani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.

Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
 
Nani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.
Inauma Sana kwa Tanzania alafu biashara zinafungwa tunafumbia machoo
 
Kwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Wameona Biashara yao itakua ni ngumu na pasua kichwa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…