Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,063
Reaction score
1,815
Naona Mambo sio mabaya Kenya.. Taarifa nyingine ni za Mwaka jana Lakini ni maendeo Mazurii Sanaa...

Je Tanzania tumelala...????
IMG-20180407-WA0031.jpg
IMG-20180407-WA0030.jpg
IMG-20180407-WA0029.jpg
IMG-20180407-WA0028.jpg
IMG-20180407-WA0027.jpg
IMG-20180407-WA0026.jpg
IMG-20180407-WA0025.jpg
 
Nani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.

Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
 
Nani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.
Inauma Sana kwa Tanzania alafu biashara zinafungwa tunafumbia machoo
 
Kwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Wameona Biashara yao itakua ni ngumu na pasua kichwa sanaaa
 
Back
Top Bottom