Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Naona Mambo sio mabaya Kenya.. Taarifa nyingine ni za Mwaka jana Lakini ni maendeo Mazurii Sanaa...
Je Tanzania tumelala...????
Je Tanzania tumelala...????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu ni panatia huruma V-Wonderr tuuu...Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
Tanzania tuna hangaika na petty issues.Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
Tupo kujenga ukuts badala ya daraja.Kwetu ni panatia huruma V-Wonderr tuuu...
Tunakumbushana sio taifa zima leo linazungumzia kukata Bangi.ahsante kwa kutukumbusha
Kazi iliyobaki ufipa ni hiyo tu....[emoji324]Naona Mambo sio mabaya Kenya.. Taarifa nyingine ni za Mwaka jana Lakini ni maendeo Mazurii Sanaa...
Je Tanzania tumelala...????View attachment 737425View attachment 737426View attachment 737427View attachment 737428View attachment 737430View attachment 737431View attachment 737432
Hapo kwetu
Ni mauaji
Maandamano
Wasiojulikana
Jiwe la msingi kwenye kisima cha maji
TRA Wafunga maduka.....
N.k.
Sipati picha vingefunguliwa Bongo Rais wetu anayezindua ukuta sijui angetoa matamko gnNaona Mambo sio mabaya Kenya.. Taarifa nyingine ni za Mwaka jana Lakini ni maendeo Mazurii Sanaa...
Je Tanzania tumelala...????View attachment 737425View attachment 737426View attachment 737427View attachment 737428View attachment 737430View attachment 737431View attachment 737432
Inauma Sana kwa Tanzania alafu biashara zinafungwa tunafumbia machooNani aje kuinvest kwenye nchi inayoongozwa na jiwe? Washamstukia huyu kwenye jumuiya ya kimataifa. Na umeme wenyewe wa manati ni hasara tupu.
Angechanganyikiwa kwa furaha maybe.....Sipati picha vingefunguliwa Bongo Rais wetu anayezindua ukuta sijui angetoa matamko gn
Bongo Dangote wanamwenyesha sembuse hao, ss saizi yetu vyerehaniKwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja
Jirani yako akinunua gari mpongeze kuna siku atakupa akili ya jinsi alivyofanikiwa.... Roho nyeusi, chuki na hasira kwa mafanikio ya jirani yako haitazuia maendeleo yake na pia inakupunguzia siku za kuishi.Kazi iliyobaki ufipa ni hiyo tu....[emoji324]
Inauma Sana kwa Tanzania alafu biashara zinafungwa tunafumbia machoo
Wameona Biashara yao itakua ni ngumu na pasua kichwa sanaaaKwa iyo mnataka kila kitu kifanyike Tz tu?
Hao wawekezaj wameona kwa hiya biashara yao Kenya itakua mahari sahih. Full stop
Wengin wakiona Tz ni mahar sahih kwa biashara yao watakuja