Kenya: Wanaume waandaa mgomo

Kenya: Wanaume waandaa mgomo

hii ishakuwa shida maana mademu siku hizi wanatetewa sana so inasababisha mpaka wanaanza kufanya maishu mengine ya ajabu ajabu...
 
Nimeishiwa Maneno kwa kweli.... Dah!

Usiishiwe kauli shosti, kwani nini kinachofanya mtushushie mkong'oto wa haja sie watoto wa wenzenu?
Hivi mkishatupiga halafu baadaye kidogo mnataka mambo flani zitasimama kweli?
Nimeshtushwa sana na suala hili hasa baada ya kuona mahojiano youtube, ya wanaume waliofanyiwa ukatili huo, wengine wakiwa usingizini, wanamwagiwa maji ya moto. Serikali ya Kenya inabidi ichukue hatua kali sana dhidi ya wahalifu hawa.

 
mtu unapigwa hadi unakuwa mwenyekiti.? noma

Hahaha,kwamba mwenyekiti ndo kapigwa zaidi?
No way bana,.......ni mtu tu anae watetea sio kwamba
nae kapigwa sana
 
Back
Top Bottom