Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Shetani ashindwe. Hamna siku hata moja ambapo rais Uhuru Kenyatta amesema anakubali huu uchafu. Mlatinoh king acha kuwahadaa wenzako. Uongo wa nini bana. U.K alikataa haya mambo hadharani mbele ya Obama alipokuwa Kenya. Hata juzi juzi tu pia alipohojiwa na CNN.
 
Wanayo effect jamii na watoto wakiwaona wanaingilia uhuru kwa kuchafua mawazo ya watu. You can't justify this shit.
 
Tusiongee sana. Laana hii inaweza kukupata mwanao wa kiume akaolewa. Na pesa zako sijui uso wako utauweka wapi
Inaweza kutokea hasa kama mke anapenda kusukwa na kuoshwa miguu na mashoga, roho ya ushoga inamuingia hatimaye akizaa mtoto anatwaa hiyo roho na hatimaye shoga anaingia kwenye familia.
 
Ahahahaha kama utan

Dah dunia ishakufa

Hongera zao ***** wasenge hao
 
Hii ni topic ya ujinga sana mmeleta hapa. Huwa munafurahia stori kama hizi, shenzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…