Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Mapenzi mubashara! kila mtu ana uhuru wake binafsi kuamua awe vip!
Jambo la muhimu ni kuwalea wanao vyema na ikitokea akabadilika ukubwani wewe nawa tu mikono maana ni mtu mzima tayari
Huo Uhuru haupo!
 
Wewe ni shoga unapromoti ushoga humu, mods ban hii ng'ombe inanitia kinyaa.
 
Hawa jamaa wana tabia kama wale kuku wa Nyeri au kondoo wa Kiambu
 
Wakenya KISWAHILI CHAO TU KINAONESHA DHAHIRI KUWA NI MASHOGA
HATA HAO WANAOVISHANA PETE WOTE NI MASHOGA
UKITAKA KUAMINI NENDA COAST
MOMBASA
MALINDI
LAMU
HUKO MWANAUME AKIONGEA TU na anavyoitikisa vidole Utajua tu kuwa NI PILAU YA KUKU[emoji1321]
 
Fuatilia vzr mkuu wengi ni style ya james delicious,mashoga wachache sana wenye muonekano wa u gentleman!

Unajidanganya. Mashoga wengi Wa huku Ulaya na Marekani ni Body builders with looks of real Men It’s really bad. Huko ndo labda wanaonekana wajinga
 
Mbona unamsingizia Kenyatta aisee...

Ngoja nikutafutie interview aliyofanya na mwanadada mmoja wa CNN.
Kenyatta aliongea lugha rahisi kabisa alipozungumza na obama pale palace.

Kwamba Kenya ina mambo mengi ya kushughulika nayo kuinua uchumi na maendeleo ya nchi, hivyo anaona ushoga ni swala ambalo halihitaji kipaumbele au Kujadiliwa.

Kwa lugha rahisi kwako ewe slow learner ni kuwa, ushoga ni privacy ya watu wawili ambayo haihitaji attention ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…