Mwandishi kajitahidi sana kuandika kiswahili, lakini bado ni lugha inayompa shida. Hilo moja.
Pili, nitarudi nikuchambue hatua kwa hatua, bila ya kumsifia Kabuti au huyo aliyemtuma. Nitaitetea Tanzania zidi ya Kenya katika mambo kadhaa aliyoyataja kama Ukabila, elimu na kupevuka kwa wakenya zidi ya waTanzania, katiba ya kunukuu kutoka Marekani na ambayo ipo lakini haitekelezwi, na mengine mengi ya upotoshaji kama Mwalimu Nyerere kutoendeleza elimu Tanzania.
Kwa ujumla, kuna machache sana Tanzania inayoweza kujifunza kama mifano toka Kenya.