Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Wewe ndo mpangaji wa ratiba za hapa Duniani?Yaani huu upuuzi wa huyu aliyeandika sijui ni kiluhya au kiluo au kamba sijui kiwaterere warere ndo unaleta hapa. Ile hotuba aliyoitoa kabudi wewe hutawahi itoa mahali popote mpaka unamaliza mwendo wako hapa duniani.
philipo!Wanajenga hoja nyepesi za chuki na nepotism.
Hawafahamu namna ambavyo Kenya maisha hayaendi pasipo nepotism.
Hao uliowataja wanajisumbua humu jukwaani.philipo!
wengi wa wachangiaji wanaomshambulia proffessor kabudi wanatumika zaidi ya kujitambua wao kama wao.
kuna lile kundi membe nalo limo humu kwa chuki binafsi.
mbali na wapinzani wa JPM binafsi ambao wameona kabudi akiperform vizuri pale inambeba rais wetu kimataifa jambo ambalo wabaya wake hawataki kulisikia.
na wengi wanang'ang'ania nepotism wakati hio ndio imejaa huko kwao na ushahidi tosha tumeuona kila uchao.Hao uliowataja wanajisumbua humu jukwaani.
JPM na Kabudi wapo vizuri sana katika uongozi halisi. Hizi nadharia za humu jukwaani ni kama kelele za chura kwa tembo mwenye kiu.
Nyerere alikuwa na nia ya dhati ya kudumisha muungano wa East Africa lakini kina Njonjo ndio walioleta dharau hivyo Nyerere akaona isiwe taabu.na wengi wanang'ang'ania nepotism wakati hio ndio imejaa huko kwao na ushahidi tosha tumeuona kila uchao.
shame on haters wherever you are but we stick JPM TILL 2025[emoji1241][emoji818]
Hakuna ukabila Tanzania.KABUDI na yale macho yake ya kichawi anadhubutu kukemea ukabila wa Kenya wakati mwajiri wake ndio MKABILA NAMBA MOJA?
Wanadhani alijipeleka mwenyewe.Walimuomba wao wenyewe!
Akili ndogo hujadili kuhusu watu na sio mawazo aliyo yawasilisha!Wakenya Wana akili Hadi wanaudhi. Wamegundua kuwa macho ya palamagamba Ni Kama ya paka mwanga.
He he heeeeee! Mwalimu wa Kiswahili, uwafundishaye jirani zetu lugha adhimu. Sio kwamba una vyeti feki mwalimu?Mwandishi kajitahidi sana kuandika kiswahili, lakini bado ni lugha inayompa shida. Hilo moja.
Pili, nitarudi nikuchambue hatua kwa hatua, bila ya kumsifia Kabuti au huyo aliyemtuma. Nitaitetea Tanzania zidi ya Kenya katika mambo kadhaa aliyoyataja kama Ukabila, elimu na kupevuka kwa wakenya zidi ya waTanzania, katiba ya kunukuu kutoka Marekani na ambayo ipo lakini haitekelezwi, na mengine mengi ya upotoshaji kama Mwalimu Nyerere kutoendeleza elimu Tanzania.
Kwa ujumla, kuna machache sana Tanzania inayoweza kujifunza kama mifano toka Kenya.
Wakenya waliotwangana mpaka Kikwete akawa sehemu ya wasuluhishi eti leo wanalo jipya la kutufundisha kuhusu ukabila. Hivi ni vichekesho vya jamii forum.Lofa mmoja wa kitanzania anajibanza kwenye ukenya.
Wla sio mkenya aliyeandika bali ni ka lofa flani tuu ka kibongo.Wakenya waliotwangana mpaka Kikwete akawa sehemu ya wasuluhishi eti leo wanalo jipya la kutufundisha kuhusu ukabila. Hivi ni vichekesho vya jamii forum.