TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Nchi ya Katiba Mpya hiyo 😆😆Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana.
Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
Kinachokula watu sio katiba mpya, ni watu ndio wanaokula watuNchi ya Katiba Mpya hiyo 😆😆
Hadi hayo yanatokea Katiba Mpya inafanya nini?Kinachokula watu sio katiba mpya, ni watu ndio wanaokula watu
KwaKula nyama kuna matatizo gani ?
Una ufahamu mdogo sana wa elimu ya katibaHadi hayo yanatokea Katiba Mpya inafanya nini
Katiba inahusikiaje kwenye haya ? Kwamba Tanzania hakuna matukio ya kikatili?Hadi hayo yanatokea Katiba Mpya inafanya nini?
Uroho gani huo hadi mle nyama za watu?Kula nyama kuna matatizo gani ?
Nasikia ni tamu kama ya kitimotoUroho gani huo hadi mle nyama za watu?
Hatari sanaNasikia ni tamu kama ya kitimoto
Hujawahi kusikia wanasema simba akianza kula nyama ya binadamu huwa haachi, lazima ataendelea kuwinda binadamu mwingine na mwingine hadi mtakapomuua ?Hatari sana