Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Yeah, I have accepted what we have...Unajitekenya kisha unacheka.
Mnaokota picha mitandaoni kisha mna claim vya kwenu.
Accept what you have bro.
Here is the same model in Kenya railwys colors.
Persenger train
Now its time for you to accept what you have... Which is nothing! So shut the F up..
Mizigo yote ambayo iko kwa que pale Mombasa tutaihamisha yote kwa wiki moja, kuwe hakuna hata contena zimepangwa pale port...kutakua hakuna hata delay, kontena ikiingia asubuhi ikifika jioni iko Nairobi,Kisumu,kampala inakaguliwa Na mwenyewe..wakati huko kwenu kontena hio hio itakua inachukua siku tatu za kwanza ikingojea kontena zengine zimaliziwe ndo nayo angalau ishughulikiwe alafu ipandishwe kwa lorry ndo ianze safari ya siku kadhaa...baada ya wiki mbili ndo inamfikia mmiliki wa mzigo