Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hiyo treni imekaa kama scania
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzimaHahaha nilijua ni mafiati ya wasomali
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzima
Hahahahaaa! Sawa, sijafika tegeta miaka mitatu ninfeyaonaZipo zinabena cement kutoka kiwanda cha Wazo Hill.
jambo la kushangaza ni ati anayezungumza mambo haya ni mwananchi wa tanzania ambaye hajawahi ona treni kutoka azaliwe.....mtu huwa anatusi kitu ambacho akonacho bana....sasa nikama maskini anatusi tajiri....😀😀😀😀😀😀si mjaua zile treni mnazozitumia uko bongo?😛wacha nisiweke picha itakutia aibuMbona zinafanana na mkebe wa mwajuma yule wa darasa LA nne
Mm,hiyo siyo ya kisasa mkuu.Wewe unaishi kwenye karne gani?Kenya leo leo wamezindua rasmi usafiribwa treni za kisasa mradi utakao gharimu Ksh 4bil umezinduliwa huko Mombasa.
Kwa kuanza mrafi huo utahusisha treni zipatazo 26 na utanufaisha nci za Afrika Mashariki.
View attachment 458398View attachment 458400View attachment 458401View attachment 458402View attachment 458403
hahahaaaaWakenya au Wachina?!!
ili kudumaza afya za wazawaChina wanasaidia kwenye miundo mbinu kama reli,madaraja,majengo,barabara,
USA yeye anasaidia vyandarua,ARVs ,chanjo,condoms
Mwenyewe hauna baisikeli ya mbao na njaa inawabana huko Mwanza na mmenyamaza tuu... Duh MdanganyikaMbona zinafanana na mkebe wa mwajuma yule wa darasa LA nne
jambo la kushangaza ni ati anayezungumza mambo haya ni mwananchi wa tanzania ambaye hajawahi ona treni kutoka azaliwe.....mtu huwa anatusi kitu ambacho akonacho bana....sasa nikama maskini anatusi tajiri....😀😀😀😀😀😀si mjaua zile treni mnazozitumia uko bongo?😛wacha nisiweke picha itakutia aibu
jambo la kushangaza ni ati anayezungumza mambo haya ni mwananchi wa tanzania ambaye hajawahi ona treni kutoka azaliwe.....mtu huwa anatusi kitu ambacho akonacho bana....sasa nikama maskini anatusi tajiri....😀😀😀😀😀😀si mjaua zile treni mnazozitumia uko bongo?😛wacha nisiweke picha itakutia aibu
EBU WEKA TUONE HIZO BOMBADIERKenya: Serikali yatangaza kuwepo kwa njaaWeka za treni zao niweke za bombadier aka bajaji zao