Kenya wazindua treni za kisasa

Kenya wazindua treni za kisasa

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kenya leo leo wamezindua rasmi usafiribwa treni za kisasa mradi utakao gharimu Ksh 4bil umezinduliwa huko Mombasa.

Kwa kuanza mrafi huo utahusisha treni zipatazo 26 na utanufaisha nci za Afrika Mashariki.

_93358466_locom6.jpeg
_93358510_locom4.jpeg
_93358516_locom10.jpeg
_93358468_locom5.jpeg
_93358464_locom7.jpeg
 
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzima

Zipo zinabena cement kutoka kiwanda cha Wazo Hill.
 
Mbona zinafanana na mkebe wa mwajuma yule wa darasa LA nne
jambo la kushangaza ni ati anayezungumza mambo haya ni mwananchi wa tanzania ambaye hajawahi ona treni kutoka azaliwe.....mtu huwa anatusi kitu ambacho akonacho bana....sasa nikama maskini anatusi tajiri....😀😀😀😀😀😀si mjaua zile treni mnazozitumia uko bongo?😛wacha nisiweke picha itakutia aibu
 
Hahahaha... You ignore them...Wako na Bombardier na Tazara eti
 
ETHIOPIA WALIPATA
upload_2017-1-12_16-27-42.jpeg

KENYA WAKAPATA
t8qvpwj-jpg.459596

NIGERIA WAKAPATA
train%2Bin%2Bnigeria.jpg

ANGOLA WAKAPATA
0,b95b3417-c06b-4cf6-b009-5d238a1980d7--r--NjQweDM0Mw==.jpg

WAPUMBAVU BONGOLALA WANASUBIRI ETI WATAPATA
Bullet-Train.jpg

JAMANI WATANZANIA KUMBE MNA AKILI NDOGO KIASI HIKI??????? KAMA ETHIOPIA NA KENYA, NCHI ZENYE ECONOMY KUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI NA KATI ZIMEOATA TRENI ZA AINA HIZI KUTOKA UCHINA, NANYI MNASUBURI TRNI ZIPI?????😀😀😀😀😀MSITUFANYE WAKENYA TUCHEKE TUVUNJE MBAVU!!!! ENDELEENI KUZIITA SCANIA ILA MKUMBUKE THAT KENYA IS THE COUNTRY THAT WILL ALWAYS BE AHEAD OF YOU..LIKE IT OR NOT...
 
Attachments

  • upload_2017-1-12_16-29-20.jpeg
    upload_2017-1-12_16-29-20.jpeg
    70.7 KB · Views: 217
jambo la kushangaza ni ati anayezungumza mambo haya ni mwananchi wa tanzania ambaye hajawahi ona treni kutoka azaliwe.....mtu huwa anatusi kitu ambacho akonacho bana....sasa nikama maskini anatusi tajiri....😀😀😀😀😀😀si mjaua zile treni mnazozitumia uko bongo?😛wacha nisiweke picha itakutia aibu

Weka za treni zao niweke za bombadier aka bajaji zao
 
Back
Top Bottom