Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
But the same Magufuli who said his son had corona is the same one who says corona doesn't exist.But at the same time American government told by their citizen that Tanzania is a safe place. I think Kenyan's are fool.
If you read the article its not written anywhere he was jailed for insulting Uhuru. That's click bait for ignorant people like you
😄😄Uwongo$100b > $60b
Hii labda ukue hukukanyanga shule na hujui nambari lakini sh100 ni heri kuliko sh60 ata uende wapi in this universe
tena hiyo ATCL iko na wateja kweli?
Mkopo bado ni pesa yetu. Ama ukikopa pesa sio yako?s
Ktk iyo 100 b ukumbuke na mikopo ya watu eh usisahau .... Ila sie sasa. Eiiiiiiiiiiiiiiii. Zero mkopoo
Mfano Yaan uwe na sh.100 mfukoni umeona embw ukataman ununue ila gafla unakutana na mdai wako anataka pesa yake Je utakula tena embe? Ukiweza kujibu ili bac ndio utajua 100 b ni zenu au za mwwnye deni.Mkopo bado ni pesa yetu. Ama ukikopa pesa sio yako?
Bora ni ulipe usiwe kama Tanzania na yule Mkulima South Afrika.
Na Tanzania mna deni tena kubwa sana wacha kujitekenya.
Hili ni hapisho la geto kwako au ? Press release gani haina tarehe, hiv unajua sifa yaa press release ww ? Makuuliza uaitumbue mi macho kama tura? Sisi tusha waambia we are free feom covid 19 iweje mnang'ang'ania mtupe liugonjwa ambalo nyie wenyewe lina washimda na mnajidanganya kupambana nalo.[emoji23][emoji23] Hiyo america yako labda ni ya kijiweni View attachment 1531502
Tuzuie na watu wao na basi zao na roli zao kuingia.“We met virtually with my brother (Tanzania Transport Minister Isack Kamwelwe) and agreed on everything, including travel issues but, being a health-related issue, it requires concurrence with the respective Health ministers on both sides,” Mr Macharia said.
Naona wana anza kutapa tapa! Watulie dawa iwaingie.
Let them stay to their country.It is ok. Every country is obliged to protect her citizens from the pandemic. Tz has been graded as a high-risk country.
If you read the article its not written anywhere he was jailed for insulting Uhuru. That's click bait for ignorant people like you
Balozi aliyetoa upuuzi huo karudishwa kwenye corona yenyewe hass. Sasa hivi tuna balozi mwingine[emoji23][emoji23] Hiyo america yako labda ni ya kijiweni View attachment 1531502
Sisi hatuna mpango na nyinyi endeleeni kufa na corona tu nyinyi nyang'ao. Hatuhitaji KQ kuja kwetu.Rais Uhuru popote alipo ajue tutamhukumu vibaya sana akitanguliza maslahi ya uchumi mbele ya afya zetu, hili la Watanzania asilegeze chochote, kila Mtanzania anayekuja hapa lazima apanue mdogo na kutumbukizwa kifaa kupima corona, haijalishi wazuie mindege watakavyo lakini msimamo wetu ubaki ule ule.
Museveni ameweka jeshi kabisa kuzuia Watanzania, Kagame kule naye naskia huwa mkali sana dhidi ya Watanzania, Zambia na majirani wote wa Tanzania wote wana misimamo mikali, sisi tusilegeze pia, tuhakikishe usalama wa afya yetu ni kipau mbele.
Hawa Watanzania walijichokea na kushindwa kwenye juhudi dhidi ya corona, kwao huko imekua gonjwa la aibu, ukiumwa inabidi uhangaike ndani kwa ndani na kuifanya siri majirani wasijue maana utanyanyapaliwa sana, tangu ile siku namba zao zilipandisha ghafla na kuwa 509 kisha rais akawa mkali, waliufyata wote.
Macharia Muongo hakuna consultation zozote watu wapo bize kukagua madaraja mbamba bayHii imekaaje?