Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macharia Muongo hakuna consultation zozote watu wapo bize kukagua madaraja mbamba bay
Wakenya subirini corona ikiisha kwenu mtaleta KQ
Sisi hatuna mpango na nyinyi endeleeni kufa na corona tu nyinyi nyang'ao. Hatuhitaji KQ kuja kwetu.
Siyo lazima ujionyeshe ulivyo pungu Kila pahala😂🤣😂!Nashangaa kuona mataga leo kwenye nyuzi za Kenya, nilidhani mtakua nyote kule jukwaa lenu la siasa mkijaribu kupoza moto wa Lissu kuifunka Dodoma.
Acha waendelee kujitekenyaYaani ngoma mnapiga wenyewe na Mnaicheza wenyewe
Tanzania Tupo kimyaaa
Hatuna Papala yeyote
Amueni Nyie na Muwe majaji
Sisi Tupo tu
Mbona rahisi sana, tutafanya hivyo hivyo na kwenu piaRemember bado wabongolala hawaruhusiwi kuingia Kenya bila quarantine. Nyinyi ni kitovu cha corona
Wanachofanya wanajaribu kuficha haibu kama wamewekewa kikwazo na TANZANIA , ndio maana kila cku wanabwabwaja wao tu upande wa TANZANIA kimya .hii ndio shida ya kujifanya unanguvu halafu kumbe huna madhara yake ndio haya unaanza ugomvi halafu unakimbilia samahanThey are selling smoke..
Wanajaribu ku predict measures/conditions ambazo Tz itawapa ili kuiruhusu KQ ije bongo. Ukiangalia hiyo statement utaona ni kwamba hakuna majadiliano yoyote yaliyofanyika. Macharia anmasema wammeshaklubaliana kila kitu na upande wa TZ ila hawezi kuamua sababu ni swala la afya! Sasa kama alijua mpaka watu wa afya wakubali yeye alizungumza na Kamwele nini wakati akijua hawezi kufikia muiafaka peke yake? He is not incharge,then why wasting his time in negotiating?
Hapo ni kama kawaida wanawapiga kamba wakenya wasijue kinachoendelea, ila mwenye kura ya veto kuamua KQ ije bongo au isije ni sisi TZ. na watakubali tu terms zetu. Sasa wanaanza tu kuweweseka mara watakubali kukaa karantini mara afya kwanza, mbona hajagusia na kuruhusu ATCL ifike nairobi?
70mikopo ya njes
Ktk iyo 100 b ukumbuke na mikopo ya watu eh usisahau .... Ila sie sasa. Eiiiiiiiiiiiiiiii. Zero mkopoo
Wakenya mnasema mpo vizuri kwa kingereza!!! So we huoni tofauti ya hizo sentence mbili tofauta! "Magufuli who SAID his son HAD Corona.. this means those days kabla ya maombi ya kuliombea taifa na dogo alipona.Now Magufuli says We DO NOT have Corona in Tanzania baada ya maombi! Ety Uhuru nae anasema kuwa Tourism site hazina Corona na wataliii waje!!! Serious kweli unafunga bars na shule coz Corona inazidi kuenea then unasema tourism site ziko safe? Ma friend you can not eat a cake and still have it, hiyo ndio tatizo ya kula pesa ya doner ya ku combat Corona and at tha same time unataka pesa toka kwa tourists. Cjui ni kukurupuka au kumkomoa TanzaniaBut the same Magufuli who said his son had corona is the same one who says corona doesn't exist.
Magufuli is fool.
[emoji23][emoji23]skia ufala sasa. Wewe + magufuli mnakua fool zaidi sasa sababu mliombea corona ikaisha na bado imezidi ...ikaua wabunge watatu pamoja na rais mstaafu mkapaWakenya mnasema mpo vizuri kwa kingereza!!! So we huoni tofauti ya hizo sentence mbili tofauta! "Magufuli who SAID his son HAD Corona.. this means those days kabla ya maombi ya kuliombea taifa na dogo alipona.Now Magufuli says We DO NOT have Corona in Tanzania baada ya maombi! Ety Uhuru nae anasema kuwa Tourism site hazina Corona na wataliii waje!!! Serious kweli unafunga bars na shule coz Corona inazidi kuenea then unasema tourism site ziko safe?? Ma friend you can not eat a cake and still have it, hiyo ndio tatizo ya kula pesa ya doner ya ku combat Corona and at tha same time unataka pesa toka kwa tourists...Cjui ni kukurupuka au kumkomoa Tanzania
Since the time you started to regard TZ as a High risk corona country to date it has proven you wrong, bad enough you are the one suffers the most, our schools are open for month's now, sports and recreational activities, busness everything is normal this part and we dont see people falling as you wish todate we have no chinise Corona here unless the time for corona to incubate is more than 120days before first sign appear, we took all hygine measures, social distancing we used local madicene including inhaling hot local medicated steam and above all we played to the one who gives life and owns everything.It is ok. Every country is obliged to protect her citizens from the pandemic. Tz has been graded as a high-risk country.
Kwanza itue pale South Africa.Ipatieni vibali vya kutua hapo nairobi halafu ndio uulize swali. Local flights zote ime cover. Au unadhani kwa nini KQ wanalia lia sana?
Hahaha! Tunawashangaa na kuajabikia vitendo vya KITOTO kutoka kwenu. Yaani tunajua mpo chini ki akili na tunawaelewa ila kwa sasa inapitiliza kupita kiasi. Ni huruma tuu.Wakenya mko obsessed sana na Tanzania, kila leo Tanzania this,Tz that, Magufuli hapa, Magufuli pale, corona pima,corona data, wala hamsikii media ya Tanzania ikiwataja! Hii mambo ya KQ Kenya mnapiga domo kila leo, Tanzania kimyaaa! Sasa hapo ndio mjiulize yupi anaweweseka juu ya mwenzie.
Hahaha! Tunawashangaa na kuajabikia vitendo vya KITOTO kutoka kwenu. Yaani tunajua mpo chini ki akili na tunawaelewa ila kwa sasa inapitiliza kupita kiasi. Ni huruma tuu.
Kwanza itue pale South Africa.
Mkulima anaingoja ndege yake.South Africa tayari kibali cha kutua kipo. Sasa tunataka kwa lazima tupate kibali cha kutua nairobi na msa.
Mwambie macharia afungue njia hiyo chombo kitue nairobi. Anamsingizia kagwe wa nini wakati hamna muda mrefu ofisini ishu ya kemsa itamuondoa?Mkulima anaingoja ndege yake.